Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

Pole sana, huyu dogo namfahamu hadi kwake alikuwa akiishi na mama yake, Mtaa wa Zaramo, lile jengo opposite DTV, sijui kama bado anakaa hapo, nilikuwa natafura Mac Book Pro, mbili za ma dogo wamemaliza form 4, dukani ni M.4, kitaa ni just 1.5. akadai anazo, natakiwa kutoa kwanza advance ndipo alete, nikamsisitiza fedha ninayo, lazima nione ndipo nilipe!, nilizunguka nae akiingia nyumba hii, mara ile hadi giza likaingia!, ila you can tell from the face, basi tuu
Nitamtafuta yule aliyeniconect naye, utamshika unless awe amehama!.

Ila pia, hujamtendea haki huyo binti anayeonekana nae, ume violate her right to privacy!.
Pasco.
Wandugu hiyo ni company moja...na hao wanaTeam work,Network..... Zaidi kuwa mla fedha za wizi na yeye ni mwizi !! Mkuu alivyowaanika ni sawa na ni tahadhari kwa wengine!!
 
Picha yake ulipata wapi mkuu?

Nili connect dotes, jinsi alivyo jitambulisha, kamputi aliyo itambulisha kuwa anafanyia kazi alisema ni El-nur germs, namba yake ya simu na alivyo jisajiri vyote vilichangia kupata hii picha kwa facebook.
 
Ilikuwaje ukapata picha yake hiyo na sio passport size labda?
 
Nili connect dotes, jinsi alivyo jitambulisha, kamputi aliyo itambulisha kuwa anafanyia kazi alisema ni El-nur germs, namba yake ya simu na alivyo jisajiri vyote vilichangia kupata hii picha kwa facebook.

»Ni-Inbox number za simu zote alizotumia kuwasiliana na wewe tukimpata ndio utanikiria kitu gani cha kunipa laptop 10 si chini ya mil5
»Mtoto mrito kama huyo bila Pakee lazima uwe mwizi tu no way out kumtumza huyo mtoto lazima umate umate haukauki....
 
View attachment 135068

HUYU JAMAA (MWANAUME) ANAITWA MALIK HUSSEIN RAWJI.

Alikuja ofisini kwangu, akasema anamkutano Beach Comber, alikuwa anahitaji Laptops 10 kwa ajiri ya baadhi ya washiriki wasiokua na Laptop kwa makubaliano ya 60,000 kila computer.

Makubalioano yalikua mimi nazipeleka LAPTOP, NAZISUBIRI, KISHA NARUDI NAZO.

Nilienda na Laptop 10 nikaziunganisha pale Beach Comber nikatoka nje ya ukumbi na kukaa karibu na ukumbi ili ikitokea shida waniite ili niwasaidie. Saa moja lilipita kimya, baadae naenda kuuliza hakuna mtu.

Mkimuona please call me 0713-302 950.

Pole na yaliyokupata. Laptop zako naona tayari zimeshauzwa na hata ukimkamata hupati kitu. Hili fanya kama fundisho. Jamii imebadilika, hakuna wa kumwamini. Dili kama hizi unabidi uende na mtu sambamba at all times. Ukiangalia pembeni tuu, unalizwa.
 
Hapana mzee lazima nimkamate, hata kama itachelewa
 
Mkuu mliingia Mkataba na huyu jamaa!?Kama sivyo we ulimuaminije ghafla kiasi hiki?
 
Laptop kumi .......ningekuwa kwa babu namtengezeza.....akijamba utokee mlio kama ule wa ndiiiiii kitu kikigoma.....ningemuambia babu afanye huyo mtu awashe sana makarioni yaani awe anatembea anajikuna huko kila atapoenda na atapokaa.... Yaani ulokole ungenitoka
 
Pole sana, cijajua kama hizo laptop ni used au mpya na pia akili na gharama alizotumia kutapeli laptop kumi angeitumia kwa namna nyingine angeula. sipati picha anavyofanya hiyo biashara ya kuuza hizo laptop, peleka picha yake vyombo vya habari tv na magazeti
 
mmh, pole mkuu.mungu ni mwema, utampata tu but next time uwe mwangalifu.
 
Du pole sana umeuanza mwaka vibaya last year January nilipigwa usd 2500 na dogo wa hm kabisa..imagine January mtu akupige that much...pole sana kaka...police wetu watakugeuza kitega uchumi ukiwaendea vibaya, wana mbinu nyingi za kukamua na mwishowe wakiona umeishiwa wataside na huyo mwizi wako so be cautious bro
 
Pole sana. Siku za mwizi arobaini
 
Pole sana, huyu dogo namfahamu hadi kwake alikuwa akiishi na mama yake, Mtaa wa Zaramo, lile jengo opposite DTV, sijui kama bado anakaa hapo, nilikuwa natafura Mac Book Pro, mbili za ma dogo wamemaliza form 4, dukani ni M.4, kitaa ni just 1.5. akadai anazo, natakiwa kutoa kwanza advance ndipo alete, nikamsisitiza fedha ninayo, lazima nione ndipo nilipe!, nilizunguka nae akiingia nyumba hii, mara ile hadi giza likaingia!, ila you can tell from the face, basi tuu
Nitamtafuta yule aliyeniconect naye, utamshika unless awe amehama!.

Ila pia, hujamtendea haki huyo binti anayeonekana nae, ume violate her right to privacy!.
Pasco.

Pasco ndugu yangu.......huyo dogo naona alikutapeli hata wewe!!!......na hata kwenye jina mnaweza kutafuta wee mpaka mchanganyikiwe........unajua matapeli wanatoa taarifa zenye nusu Ukweli!.....sasa homework yako tafuta hiyo nusu ya ukweli.......
 
Pole na yaliyokupata. Laptop zako naona tayari zimeshauzwa na hata ukimkamata hupati kitu. Hili fanya kama fundisho. Jamii imebadilika, hakuna wa kumwamini. Dili kama hizi unabidi uende na mtu sambamba at all times. Ukiangalia pembeni tuu, unalizwa.
Jasho ya mtu haipotei kijinga namna hiyo. Lazima umtafute na ukimpata hata kama hatakulipa lakini lazima umpe fundisho.
 
Huyo jamaa Maliki ni Tapeli anafahamika mjini na huyo dada chotala wa kihindi aliye kuwa ameolewa na mzungu akaachika naye pia anajua kuwa bwana yake ni tapeli na hata akikamatwa utamuona anakuja believe me.Huyo ndiyo maliki Mpare. Tangaza dau mkuu utampata jina lake ndiyo hilo na anamdogo anaitwa nasri
 
Back
Top Bottom