Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

...pole sana mkuu! Utapeli kila sehemu' itatubidi tuanzishe huduma za ubao wa matangazo — bulletin board system, ili kuwatambua ki-urahisi...!

Itakuwa jambo la mbolea sana....
 
mh. mbona itakua kazi sasa hapa jamiiforum hii ikiruhusiwa. Kama una picha yake na polisi ushaenda just chill man, ila tukiruhusu hili hapa aisee tutachafuana hatare!
 
View attachment 135068

HUYU JAMAA (MWANAUME) ANAITWA MALIK HUSSEIN RAWJI.

Alikuja ofisini kwangu, akasema anamkutano Beach Comber, alikuwa anahitaji Laptops 10 kwa ajiri ya baadhi ya washiriki wasiokua na Laptop kwa makubaliano ya 60,000 kila computer.

Makubalioano yalikua mimi nazipeleka LAPTOP, NAZISUBIRI, KISHA NARUDI NAZO.

Nilienda na Laptop 10 nikaziunganisha pale Beach Comber nikatoka nje ya ukumbi na kukaa karibu na ukumbi ili ikitokea shida waniite ili niwasaidie. Saa moja lilipita kimya, baadae naenda kuuliza hakuna mtu.

Mkimuona please call me 0713-302 950.
Pole sana, huyu dogo namfahamu hadi kwake alikuwa akiishi na mama yake, Mtaa wa Zaramo, lile jengo opposite DTV, sijui kama bado anakaa hapo, nilikuwa natafura Mac Book Pro, mbili za ma dogo wamemaliza form 4, dukani ni M.4, kitaa ni just 1.5. akadai anazo, natakiwa kutoa kwanza advance ndipo alete, nikamsisitiza fedha ninayo, lazima nione ndipo nilipe!, nilizunguka nae akiingia nyumba hii, mara ile hadi giza likaingia!, ila you can tell from the face, basi tuu
Nitamtafuta yule aliyeniconect naye, utamshika unless awe amehama!.

Ila pia, hujamtendea haki huyo binti anayeonekana nae, ume violate her right to privacy!.
Pasco.
 
Da nisaidie kaka, nimpate ni text tuongee zaidi
 
Kwa hiyo mkuu hukupatiwa hizo Mac Pro? Huu ni utapeli wa kipuuzi sana. Watu kama hawa huwa wanaishia pabaya sana kwa kujitia wajanja kumbe hamna lolote.
Asante kwa kumpatia mhusika hizo data labda zitamsaidia kumpata mwizi wake
 
dah demu wake wa ukweli.wacha awe tapeli tu amtunze mtoto
 
Utanipa shs ngapi niko nae nipe ofa nikwamvie uje wapi
 
Bro sihitaji chochote nakutania nenda ukae pale mjini k t shop kuna duka cm utampata
 
Anakuwaga pale kuanzia saa nne halaf anarudi saa 10 jioni ndo maskani yake kubwa hapo
 
Duh! Pole sana kwa kutapeliwa. Nenda karipoti kituo chochote cha polisi kilicho karibu na eneo la tukio, then peleka picha yake na maelezo yako Police CenIral pale Ilala, watakusadia.

Sa kama umeibiwa humu ndo kituoni?kwa elimu yangu ndogo hapa ni www.majungu.misifacom ni mtu anajipaisha tu na ka dem kake
 
Hapana, hii ni Kweli kabisa kaka, RB ni KW/RB/12277/2013 (KUJIPATIA MALI KWA NJIA YA UDANGANYIFU), SIO MAJUNGU, HII PICHA NDO NILOIPATA SO KAMA UKIMUONA HATA HUYO DEMU NITONYE MAANA ATASAIDIA KUPATIKANA JAMAA
Picha yake ulipata wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom