Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

Au huyu ndie huwa wanamuimba kwenye twaaarabu mawji mawji mawji anachana nyuzi?????/
 
Unatikiwa ukimshika unakuwa na watu unamchukua nlmnampeleka maeneo ya msitu wa pande mna mpiga na kuuwa kabsa hapo unakuwa umemaliza tatizo. Usimpeleke polisi
 
Pole sana! Hii sura ya huyu jamaa ni kama nimeshaiona hapa....mjini, naogopa kutaja eneo husika maana nahisi anaweza kutoroka,kumbuka hata yeye anasoma article humu jf,ngoja nifuatilie ntakujuza.
 
Na ukimsikia akiongea utahisi malaika mamndenyi anakuja
he kama amefikia uko hatari

angalizo tu msije mkawamnatafuta mke wa mtu kupitia malik..n mpenzi wa wake zq watu sijui kama yamekukuta mkuu kwa hili

angalizo tu

hivi ukiongea live ni hivi pia?hahah ! Maana hii michapio hatari pididi.. Weka mbali na watoto
 
Ushamba at work!
Unamwaminije mtu day one without down payment at least 60%
Hata akilipwa asilimia 100% wapi wanauza laptop 60000tzs ?yaani wewe ndio unaonesha utapigwa ile kubwa yao !nyumba, gari,fedha bank!hapo alitakiwa kwanza apate maelezo ya usalma wa mali zake ,wadhamini yaani kuwe na point kadhaa za kumbana 'tapeli' kama maelezo hayaridhishi basi na fedha anaitaka itabidi naye awe mgeni mualikwa wa kwanza kuingia na wa mwisho kutoka.
angalizo -matapeli wanakuchapa kwa kukutamanisha eazy money,unachotakiwa kukijua ni kwamba hakuna eazy money kila deal lina catch yake somewhere ,find the catch you are the winner!
 
mida ya saa saba alikuwa anatumia gari tinted saloon wako kama vijana wane hivi city centre mitaa ya round about ya azam
 
Hahahhahahhahahha amaaaa kwel wajinga ndio waliwao,naww umelizwa tenaa,polen wote mliokuja dar na mbio za mwenga sasa ndo wakat wenu kujfunza kuish na wana dar es salaaama,hahahahahahaha
 
Hapana, hii ni Kweli kabisa kaka, RB ni KW/RB/12277/2013 (KUJIPATIA MALI KWA NJIA YA UDANGANYIFU), SIO MAJUNGU, HII PICHA NDO NILOIPATA SO KAMA UKIMUONA HATA HUYO DEMU NITONYE MAANA ATASAIDIA KUPATIKANA JAMAA
tahadhari...
isije ikawa chanzo ni wivu wa kimapenzi
 
Wewe unafanya biashara ya kukodisha? Masharti yako yakoje? Huhitaji mdhamini pindi umkodishapo mtu? Mbona sielewi?
 
View attachment 135068

HUYU JAMAA (MWANAUME) ANAITWA MALIK HUSSEIN RAWJI.

Alikuja ofisini kwangu, akasema anamkutano Beach Comber, alikuwa anahitaji Laptops 10 kwa ajiri ya baadhi ya washiriki wasiokua na Laptop kwa makubaliano ya 60,000 kila computer.

Makubalioano yalikua mimi nazipeleka LAPTOP, NAZISUBIRI, KISHA NARUDI NAZO.

Nilienda na Laptop 10 nikaziunganisha pale Beach Comber nikatoka nje ya ukumbi na kukaa karibu na ukumbi ili ikitokea shida waniite ili niwasaidie. Saa moja lilipita kimya, baadae naenda kuuliza hakuna mtu.

Mkimuona please call me 0713-302 950.

Hapo itabidi uanze fikra ngumu.
Nunua bastola halafu mvizie sehemu mshone risasi, ukishindwa kufanya hivyo kodisha mtu amshone risasi. Ukimpeleka polisi kesi utashindwa, inaonekana hakuna ushahidi wowote wa wewe kumkodisha hizo laptops.
Sasa hivi anajua kua wewe unamtafuta na anaweza kujihami kwa kukumaliza wewe, kwa hiyo fahamu kuwa wewe uko hatarini.
 
View attachment 135068

HUYU JAMAA (MWANAUME) ANAITWA MALIK HUSSEIN RAWJI.

Alikuja ofisini kwangu, akasema anamkutano Beach Comber, alikuwa anahitaji Laptops 10 kwa ajiri ya baadhi ya washiriki wasiokua na Laptop kwa makubaliano ya 60,000 kila computer.

Makubalioano yalikua mimi nazipeleka LAPTOP, NAZISUBIRI, KISHA NARUDI NAZO.

Nilienda na Laptop 10 nikaziunganisha pale Beach Comber nikatoka nje ya ukumbi na kukaa karibu na ukumbi ili ikitokea shida waniite ili niwasaidie. Saa moja lilipita kimya, baadae naenda kuuliza hakuna mtu.

Mkimuona please call me 0713-302 950.
hii mara ya pili mimi kusikia habari hii mara ya kwanza kuna mtu kalizwa laptop 4 badala ya saba ni durban hotel ya clocktower dsm,kwa staili hizo hizo nilimpeleka jamaa alielizwa mpaka mitaa ya kariakoo kule aggrey kwenye vifaa vya simu na used laptop kumtafuta huyo tapeli,ila nahisi kama baadhi ya wafanyakazi ya hotel anazopanga kukutapeli wanajua chezo zima,pole sana.
 
Nili connect dotes, jinsi alivyo jitambulisha, kamputi aliyo itambulisha kuwa anafanyia kazi alisema ni El-nur germs, namba yake ya simu na alivyo jisajiri vyote vilichangia kupata hii picha kwa facebook.
nani aliku kutanisha nae????
 
Last edited by a moderator:
huyo mkewe atakuwa na sukari guru? yaani ajiibe mwenyewe uje uhangaike kusaka watu mtandaoni? mapenzi ya kichaga hayo, mahaba niue:A S 27:
bado story yake inautata sana na naona kuna vingi vinaupungufu kwenye kuweka maelezo sawa. Isije ikawa tunakusaidia kumkamata mwizi anaekuibia mkeo kwa kisingizio kingine.:tonguez:
 
View attachment 135068

HUYU JAMAA (MWANAUME) ANAITWA MALIK HUSSEIN RAWJI.

Alikuja ofisini kwangu, akasema anamkutano Beach Comber, alikuwa anahitaji Laptops 10 kwa ajiri ya baadhi ya washiriki wasiokua na Laptop kwa makubaliano ya 60,000 kila computer.

Makubalioano yalikua mimi nazipeleka LAPTOP, NAZISUBIRI, KISHA NARUDI NAZO.

Nilienda na Laptop 10 nikaziunganisha pale Beach Comber nikatoka nje ya ukumbi na kukaa karibu na ukumbi ili ikitokea shida waniite ili niwasaidie. Saa moja lilipita kimya, baadae naenda kuuliza hakuna mtu.

Mkimuona please call me 0713-302 950.

Umeshampata au ndiyo ameshakumaliza wewe? Maana anajua unamtafuta wasela watakuwa wameshampa taarifa. Cheza kwa makini maana matepeli wana mtandao mpana hadi polisi kwenyewe
 
pole sana, kuna tapeli mmoja wa mbinu hii alikuja kuzikusanya laptop kwa wanafunzi chuoni, mbaya zaidi baadhi ya wanafunzi wasio na laptop waliazima kwa wenzao na kumpelekea jamaa ili wapige hela chap chap, kwa ahadi ya laptop 1 Tshs elfu 50 per day, alidai atazitumia kwa 3 days! kilichofuata ni msiba chuoni ambao wewe unalia leo! so sorry mkuu!
 
Hivi muda wote unaunga laptop,unacheck connections nk hakuna mhusika au mtu wa hapo beach comber aliyekuja kukuhoji kama wao hawajui lolote kuhusu function itakayofanyika!? Nawe ukaunga,ukaziacha bila kumkabidhi mtu,uka
toka kwenda kukaa mbali kumsubiri...ha! Cha kwanza wewe binafsi una matatizo na cha pili huyo ndugu ameshirikiana na wahusika wa hapo!.Pole.
 
Back
Top Bottom