Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

Tapeli mkubwa jijini Dar es Salaam: Malik Hussein Rawji

Nili connect dotes, jinsi alivyo jitambulisha, kamputi aliyo itambulisha kuwa anafanyia kazi alisema ni El-nur germs, namba yake ya simu na alivyo jisajiri vyote vilichangia kupata hii picha kwa facebook.

mhhhhh majina watu wanafanana jamani mf. kwenye facebook Ally Mwinyi wako kibao.... utamchagua yupi
 
Pole sana, huyu dogo namfahamu hadi kwake alikuwa akiishi na mama yake, Mtaa wa Zaramo, lile jengo opposite DTV, sijui kama bado anakaa hapo, nilikuwa natafura Mac Book Pro, mbili za ma dogo wamemaliza form 4, dukani ni M.4, kitaa ni just 1.5. akadai anazo, natakiwa kutoa kwanza advance ndipo alete, nikamsisitiza fedha ninayo, lazima nione ndipo nilipe!, nilizunguka nae akiingia nyumba hii, mara ile hadi giza likaingia!, ila you can tell from the face, basi tuu
Nitamtafuta yule aliyeniconect naye, utamshika unless awe amehama!.

Ila pia, hujamtendea haki huyo binti anayeonekana nae, ume violate her right to privacy!.
Pasco.

Da nafikiri huyo demu anatumika kama chambo atafutwe naye kwani ndio zao matapeli kutembea na mademu wakali ili watu wasistuke!
 
Matapeli wanatumia weakness moja tu ya binadamu ambayo ni GREED . wanakusukumia deal ambayo unajiona utapata fasta na bila jasho. ukishaona hivo tu sepa. wewe uliona wapi watu wanakodi vipakato kumi kwa masaa machache na malipo ya juu bila kulipa kodi ya serkali. Kwa msaada tu hebu kula sahani moja na wenye hoteli mpaka kieleweke. haiwezekani wasimjue huyo mpangaji wao.
 
Ushamba at work!
Unamwaminije mtu day one without down payment at least 60%

Mkuu kukodi laptop moja ni 60,000/*10=600,000/=, asilimia sitini yake ni 360,000/-.............bei ya laptop kumi kama ni latitude (dell) genuine moja ni zaidi ya 1,000,000/= downpayment isngetosha ndio maana jamaa sababu hakumwamini akaenda naye kumbini kutoa support pamoja na kulinda (sina hakika) japo inaonkana tapeli kajipaga na anajuwa udhaifu wa makapuni ya kukodisha.........kwa jinsi alivyotapeliwa ni ngumu kushinda mtego, ila hapa bongo ''mtu anayetapeliwa siku zote huonekana mjinga/mzembe)......taarifa hii itatusadia watu wengine kuongeza udhibiti na ikiwezekana tutumie hata bima............................kwani hata mabenki pamoja na umakini huibiwa!
 
Laptop kumi .......ningekuwa kwa babu namtengezeza.....akijamba utokee mlio kama ule wa ndiiiiii kitu kikigoma.....ningemuambia babu afanye huyo mtu awashe sana makarioni yaani awe anatembea anajikuna huko kila atapoenda na atapokaa.... Yaani ulokole ungenitoka

hahahaha
 
mtafute mkinga umalize mambo yoooote watu kama hawa hawastahili kuishi
 
Nilitumia taarifa zake alizotumia kunitapeli, ndo mpaka nikafika kupata picha yake kwenye account ya facebook ya huyo demu, actually the whole family niliconnect na nimewajua
Ndugu Kutanisha nasema kwa uchungu tumia mbinu za RANDOM check ujaribu kutembelea maeneo ya starehe za aina mbali mbali jijini kwa kuingia ghafula utawabamba tuu! Hao wamo humu mujini!! In-shaAllah utafinikiwa na kupata haki/mali yako.AMIN
 
pole sana mkuu, siku nyingine jifunze kuweka mikataba ya kisheria na hao watu
 
Pole sana, kwa ushauri wangu kama we ni mfanya biashara na unakodisha vitu ni lazima uwe na mkataba unao msainishe mtu akiwa na passport yake au mdhamini wake na passport au kitambulisho cha uhakika ili ikusaidie kwani unafikiri wakati mwingine umepata dili kumbe umepatikana pls trust no one
 
peleka polic, zen utaratibu wa kusakwa utafanyika katk vyombo vya habari

mkataba wa makubaliano unao? kama huna basi usijihangaishe maana utapata kesi kubwa sana ya kumdhalilisha huyo jamaa na utamlipa pesa nyingi sana au atakufunga jela
 
Back
Top Bottom