Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,607
- 109,235
Mimi nimempenda tu huyo demu kwenye picha ni mkare.
nilikua nje ya ukumbi naangalia game, baada ya mda naenda kuangalia nikakuta mlango umefungwa, na wale staff wanamtafuta.
Sa kama umeibiwa humu ndo kituoni?kwa elimu yangu ndogo hapa ni www.majungu.misifacom ni mtu anajipaisha tu na ka dem kake
Za mwizi ni siku 39 ya 40 ndio anakamatwa.
Mkuu kutanisha hapa ndipo nilipotatizika kidogo, ina maana kama ni tapeli alishirikiana na uongozi wa hoteli. Haiwezekani "from nowhere" mtu aingie hotelini aunganishe kompyuta zote hizo na kutumia umeme wa hoteli bila uongozi kuwa na taarifa zake.View attachment 135068
HUYU JAMAA (MWANAUME) ANAITWA MALIK HUSSEIN RAWJI.
Alikuja ofisini kwangu, akasema anamkutano Beach Comber, alikuwa anahitaji Laptops 10 kwa ajiri ya baadhi ya washiriki wasiokua na Laptop kwa makubaliano ya 60,000 kila computer.
Makubalioano yalikua mimi nazipeleka LAPTOP, NAZISUBIRI, KISHA NARUDI NAZO.
Nilienda na Laptop 10 nikaziunganisha pale Beach Comber nikatoka nje ya ukumbi na kukaa karibu na ukumbi ili ikitokea shida waniite ili niwasaidie. Saa moja lilipita kimya, baadae naenda kuuliza hakuna mtu.
Mkimuona please call me 0713-302 950.
Ushamba at work!
Unamwaminije mtu day one without down payment at least 60%
Na ukimsikia akiongea utahisi malaika mamndenyi anakuja
he kama amefikia uko hatari
angalizo tu msije mkawamnatafuta mke wa mtu kupitia malik..n mpenzi wa wake zq watu sijui kama yamekukuta mkuu kwa hili
angalizo tu
Na ukimsikia akiongea utahisi malaika mamndenyi anakuja
he kama amefikia uko hatari
angalizo tu msije mkawamnatafuta mke wa mtu kupitia malik..n mpenzi wa wake zq watu sijui kama yamekukuta mkuu kwa hili
angalizo tu
Unakimbizwa ??????
Mimi nimempenda tu huyo demu kwenye picha ni mkare.
Mkuu hiyo familia ya panya, kama baba ni panya na mama naye ni hivyo hivyo. Angalia usije leta "post" ya kutapeliwa humu.Mimi nimempenda tu huyo demu kwenye picha ni mkare.
Hiki kitakuwa kiyunani,ngoja nitafute kamusi.Na ukimsikia akiongea utahisi malaika mamndenyi anakuja
he kama amefikia uko hatari
angalizo tu msije mkawamnatafuta mke wa mtu kupitia malik..n mpenzi wa wake zq watu sijui kama yamekukuta mkuu kwa hili
angalizo tu
Ni kweli mkuu, hata mimi sikumuelewa. Pamoja na kumuuliza maswali yangu naona bado ameuchuna.Sidhani kama na wewe huko sahihi hivi ni kweli unaweza enda sehemu ukaunganisha laptop kusiwe hata na viashiria hata vya kuweko wa watu wengine nipajuapo Beach comber labda kama alitoloka na boti maana pale lango la kuingilia ni moja