Tanzura Kabla ya Next World Cup kuna ubwabwa

Tanzura Kabla ya Next World Cup kuna ubwabwa

Mkuu una uhakika nyama tutazikuta chini maana mchuz mwingi SANA

Anyway 2028 bendera itapepea nusu mlongoti mchambawima watalia SANA

Lakn furaha kwa sisi WATU wa LIKUYU FUSI na NANGOMBO

Fundi wetu ameanza kutuulizia vitambaa vya Suti mapemaaa imagine ndoa 2028 lakn sare zinaanza Leo kushonwa

Anyway cheo cha makamu WA RAIS kwa sasa sio cha kukata utepe au kutembea na mikas n tishio kwa RAIS aliyeko madarakani
 
The KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili kumfagilia njia maskafu ndie ampokee! Na sasa Madereva naye kaujua mchezo anajisogeza kwa Maskafu. The KM akaamua then itambidi Maza apishe njia kabla ya 2030, hivyo yule Mkoko kumuita Balozi Iskariote, ni kumaanisha anataka kumsaliti maza ili yeye akalie kiti.
Ndani kumefukuta sana wanacheka usoni Ila ndani pa moto, walinzi wawili wa Balozi nao amewashtukia watabadilishwa soon kuna investigation.

Nimerejea rasmi likizo imeisha

Za ndaaaaaaniiii ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻

Britanicca
We Burita wee...!, wee... haya!, ujue The KM ana watu wake humu, kuwa makini sana usithani kuwa Rostov ndio salama, unafikiwa popote!,
P
 
Mama ameanza kuota mapembe tutayakata

Shauri Yako wewe ropoka ropoka tum...FSB wakiitwa zamani KGB wasikunase... Wale wazee wanaotumiwa na CIA pamoja na MI6 Counter Intelligence ya FSB mtawezana???

Hapa hata Evarist , Maria, Kimambo, etc wanaweza wakafikiwa huko huko walipo kama FSB wakipewa kandarasi hiyo...na warusi ni Wazuri Sana katika kufanya activation ya Sleeper Agents wao huko huko walipo... Na Wana sumu nyingi Sana za kumpeleka mtu Akhera
 
Back
Top Bottom