ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 19,408
- 45,799
Tunazaa mtoto kilaza😃Hii familia ya vichwa maji kweli ngoja nimumize kichwa inakuja inakata kata
Tunazaa mtoto kilaza😃Hii familia ya vichwa maji kweli ngoja nimumize kichwa inakuja inakata kata
The KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili kumfagilia njia maskafu ndie ampokee! Na sasa Madereva naye kaujua mchezo anajisogeza kwa Maskafu. The KM akaamua then itambidi Maza apishe njia kabla ya 2030, hivyo yule Mkoko kumuita Balozi Iskariote, ni kumaanisha anataka kumsaliti maza ili yeye akalie kiti.
Ndani kumefukuta sana wanacheka usoni Ila ndani pa moto, walinzi wawili wa Balozi nao amewashtukia watabadilishwa soon kuna investigation.
Nimerejea rasmi likizo imeisha
Za ndaaaaaaniiii ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Nimeingamua aisee imebidi nirudi maktabaTunazaa mtoto kilaza😃
Bla blaThe KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili kumfagilia njia maskafu ndie ampokee! Na sasa Madereva naye kaujua mchezo anajisogeza kwa Maskafu. The KM akaamua then itambidi Maza apishe njia kabla ya 2030, hivyo yule Mkoko kumuita Balozi Iskariote, ni kumaanisha anataka kumsaliti maza ili yeye akalie kiti.
Ndani kumefukuta sana wanacheka usoni Ila ndani pa moto, walinzi wawili wa Balozi nao amewashtukia watabadilishwa soon kuna investigation.
Nimerejea rasmi likizo imeisha
Za ndaaaaaaniiii ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Ninong'onezeNimeingamua aisee imebidi nirudi maktaba
Mjamaa mwenye kuambiwa ana jina la kutunga.Madereva ndiyo nani????
Inaonekana darasa lako la utabiri uli disco.The KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili kumfagilia njia maskafu ndie ampokee! Na sasa Madereva naye kaujua mchezo anajisogeza kwa Maskafu. The KM akaamua then itambidi Maza apishe njia kabla ya 2030, hivyo yule Mkoko kumuita Balozi Iskariote, ni kumaanisha anataka kumsaliti maza ili yeye akalie kiti.
Ndani kumefukuta sana wanacheka usoni Ila ndani pa moto, walinzi wawili wa Balozi nao amewashtukia watabadilishwa soon kuna investigation.
Nimerejea rasmi likizo imeisha
Za ndaaaaaaniiii ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻
Britanicca
Kipi cha kushangaza wakati idadi kubwa ya watu ni wajinga?Hua nawashangaa sana watu wanaoamini stori zako🤔
Mada ikiwa imejaa codes yatakiwa iende hivyohivyo ili inoge.Si mseme Paulo Makonda, mnakwepa kwepa ninj
😂😂😂Ninong'oneze
SawaMada ikiwa imejaa codes yatakiwa iende hivyohivyo ili inoge.
Nipe codesMjamaa mwenye kuambiwa ana jina la kutunga.
Lile jina la mchunga kondoo aleangusha zimwi.
Sawa
Soma namba 37Nipe codes