Tanzura Kabla ya Next World Cup kuna ubwabwa

Tanzura Kabla ya Next World Cup kuna ubwabwa

The KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili kumfagilia njia maskafu ndie ampokee! Na sasa Madereva naye kaujua mchezo anajisogeza kwa Maskafu. The KM akaamua then itambidi Maza apishe njia kabla ya 2030, hivyo yule Mkoko kumuita Balozi Iskariote, ni kumaanisha anataka kumsaliti maza ili yeye akalie kiti.
Ndani kumefukuta sana wanacheka usoni Ila ndani pa moto, walinzi wawili wa Balozi nao amewashtukia watabadilishwa soon kuna investigation.

Nimerejea rasmi likizo imeisha

Za ndaaaaaaniiii ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻

Britanicca
Hivi bado mnamuamini huyu britanicca ?? Mtu anatumia fake ID bado anaandika kwa codes? Sasa unamficha nani tena wakati tayari umejificha kwa fake ID??

Halafu kama hii situation ipo kwa nini wewe ambaye siku zote huukubali utawala wa Awamu ya 6 uje tena uwa tahadharishe maadui zako?

Mimi nadhani nyufa zozote zilizopo kwa Awamu ya 6 ni FAIDA kwa wapinzani wa awamu hii.

The more unawatahadhrisha ndiyo the more wanajirekebisha kufuta nyufa hizo!! Sasa wewe mwenyewe na wasioitaka Awamu ya 6 mnapata faida gani?.

IGNORE this post please
 
Shauri Yako wewe ropoka ropoka tum...FSB wakiitwa zamani KGB wasikunase... Wale wazee wanaotumiwa na CIA pamoja na MI6 Counter Intelligence ya FSB mtawezana???

Hapa hata Evarist , Maria, Kimambo, etc wanaweza wakafikiwa huko huko walipo kama FSB wakipewa kandarasi hiyo...na warusi ni Wazuri Sana katika kufanya activation ya Sleeper Agents wao huko huko walipo... Na Wana sumu nyingi Sana za kumpeleka mtu Akhera
Mama gani sasa Mimi nasema mama maria?
 
Lakin kwa sasa kawekwa pembeni kwenye michongo na shangazi na ndo maana atakuwa upande wa Iskariote now!
Na ukizingatia Wadanganyika wanampenda Iskariote kuzidi mtu yeyote ndani ya CCM , kwa Nje ya CCM wanampenda Msingidai mtembea na Risasi viungoni,
Iskariote na Msingidai wana kariba zinazofanana japo mmoja Ana misimamo sana !

Pale alipoteuliwa akaambiwa kwamba ………… shangazi ndo maana akasema hajaja kushindana na shangazi bali kushirikiana naye….

Angalia video hii
View attachment 3603340




Britanicca
Ww jamaa tuambie Polepole yupo wapi ...
 
Mkuu una uhakika nyama tutazikuta chini maana mchuz mwingi SANA

Anyway 2028 bendera itapepea nusu mlongoti mchambawima watalia SANA

Lakn furaha kwa sisi WATU wa LIKUYU FUSI na NANGOMBO

Fundi wetu ameanza kutuulizia vitambaa vya Suti mapemaaa imagine ndoa 2028 lakn sare zinaanza Leo kushonwa

Anyway cheo cha makamu WA RAIS kwa sasa sio cha kukata utepe au kutembea na mikas n tishio kwa RAIS aliyeko madarakani
Nimekuelewa una taka kusema 2030-2028= miaka 2
Halafu uchaguzi 2030-2035= miaka 5,

Then uchaguzi 2035-2040=miaka 5.
Jumla kuu =2+5+5=12

Miaka 12 sawa na miaka 12 ya utawala wa Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku!!yaani FDR atatawala kuanzia 2028 si ndio!!?

Na kipindi hicho atakua na miaka 45 kwasasa ana miaka 43 au sio!!?

Nafikiria na kuwazua!
 
Nimekuelewa una taka kusema 2030-2028= miaka 2
Halafu uchaguzi 2030-2035= miaka 5,

Then uchaguzi 2035-2040=miaka 5.
Jumla kuu =2+5+5=12

Miaka 12 sawa na miaka 12 ya utawala wa Rais ambaye hajawahi kugombea ilitokea marekani itatokea na huku!!yaani FDR atatawala kuanzia 2028 si ndio!!?

Na kipindi hicho atakua na miaka 45 kwasasa ana miaka 43 au sio!!?

Nafikiria na kuwazua!
Ata akiwa yeye akamlizia miaka 2 mpaka 2030,si bado 2030 atatakiwa agombee tu na kushindanishwa na wengine,,kwa hiyo kutakuwa n1 uchaguzi,hawezi kiwa miaka 12 bila kuchaguliwa
 
Back
Top Bottom