Tanzura Kabla ya Next World Cup kuna ubwabwa

Tanzura Kabla ya Next World Cup kuna ubwabwa

The KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili kumfagilia njia maskafu ndie ampokee! Na sasa Madereva naye kaujua mchezo anajisogeza kwa Maskafu. The KM akaamua then itambidi Maza apishe njia kabla ya 2030, hivyo yule Mkoko kumuita Balozi Iskariote, ni kumaanisha anataka kumsaliti maza ili yeye akalie kiti.
Ndani kumefukuta sana wanacheka usoni Ila ndani pa moto, walinzi wawili wa Balozi nao amewashtukia watabadilishwa soon kuna investigation.

Nimerejea rasmi likizo imeisha

Za ndaaaaaaniiii ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻

Britanicca
Unpuzzling the puzzle.
The KM (Msoga) ndie alimtoa yule Blaza (Chato) na kumuweka maza(Kizimkazi), na kwa vile Balozi (Kusini boy) ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu (PM), hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili kumfagilia njia maskafu ndie ampokee! Na sasa Madereva (nA Makondakta) naye kaujua mchezo anajisogeza kwa Maskafu. The KM akaamua then itambidi Maza apishe njia kabla ya 2030, hivyo yule Mkoko kumuita Balozi Iskariote, ni kumaanisha anataka kumsaliti maza ili yeye akalie kiti.
Ndani kumefukuta sana wanacheka usoni, Ila ndani pa moto, walinzi wawili wa Balozi nao amewashtukia watabadilishwa soon kuna investigation.

Watu wanasema maskafu ni damu ya msoga one.
 
The KM ndie alimtoa yule Blaza na kumuweka maza, na kwa vile Balozi ni mtu wake, Maza kaonyesha anamtaka Maskafu, hivyo wakamshauri akae mbali na The KM, maza akamuweka KM pembeni kiaina, ili kumfagilia njia maskafu ndie ampokee! Na sasa Madereva naye kaujua mchezo anajisogeza kwa Maskafu. The KM akaamua then itambidi Maza apishe njia kabla ya 2030, hivyo yule Mkoko kumuita Balozi Iskariote, ni kumaanisha anataka kumsaliti maza ili yeye akalie kiti.
Ndani kumefukuta sana wanacheka usoni Ila ndani pa moto, walinzi wawili wa Balozi nao amewashtukia watabadilishwa soon kuna investigation.

Nimerejea rasmi likizo imeisha

Za ndaaaaaaniiii ✍🏻✍🏻✍🏻✍🏻

Britanicca
Tunazungushana na nadharia zisizokuwa na miguu wala mikono.
Wewe mwenyewe unajitambulisha kuwa umo ndani ya chama hiki cha CCM, ambacho mmekiharibu vibaya sana.
Hizi nadharia zako zinakuwa ni sehemu ya ulaghai uleule unaotumika kuwachanganya akili waTanzania.

Ni hivi, kama hujui:

Wanaokishikilia chama (CCM) sasa hivi ambao hawajali chochote zaidi ya maslahi yao, wanahaha kutafuta njianya kuendelea kukitumia chama ili waendeleze maslahi.

Wameamua, Nchmbi na Samia ni lazima wategemeane kwa maslahi ya kila upande.

Kwa Samia, maslahi ni kuendelea na kumaliza 2030; pamoja na kuhakikishiwa kutopelekwa jela kwa uhalifu mkubwa aliolifanyia taifa hili.

Kwa Nchimbi, mategemeo yake ni kurithi kiti cha uongozi kwa ahadi ya kulinda waovu wote na kuhakikisha CCM kama chama kinabaki kuwa cha wanaokishikilia ili kiwanufaishe wao..

Ncimbi siyo mtu anayetegemewa kuleta mabadiliko yoyote ya maana ndani ya CCM, mbali ya kutimiza malengo ya kuwa kiongozi mkuu .

Hizi ngonjera zinazofanywa wakati huu ni hadaa tupu. WaTanzania inawabidi watambue hivyo kama kweli wanataka kuwa na matarajio yoyote na nchi yao.
 
Code ngumu kidogo
Kama si mfuatiliaji wa siasa za Bongo, huwezi kuzielewa hizi code...

Ngoja nisaidie kuzifungua baadhi:

KM = Kassimu Majaliwa

Blaza = John P. Magufuli

Maza = Samia

Balozi
= Dr Emmanuel Nchimbi (VP)

Maskafu = Mwigulu Nchemba

Mkoko = Simai (yule mbunge mzanzibar aliyemuita balozi "Yuda")

Madereva =..................??? (Namtafuta)

NB:
Swali linaloleta shaka ya utabiri huu wa ndugu britanicca ni kumhusisha KM (Kassimu Majaliwa) na kuuwawa kwa John P. Magufuli

Naweza kuwa wa mwisho kuamini hadithi hii ya kufikirika zaidi japo nusu yaweza kuwa kweli na nusu ni mashaka matupu

Kalamu
 
Back
Top Bottom