Tanzia

Duh! Nimeogopa nimejaribu kufikiria ni vipi kama ingekuwa imetokea kwangu, machozi yamenitoka, pole sana mpendwa ni kazi ya Mung haina makosa.....dah! inaumiza sana
 
kaka pole sana hii habari kwa kweli yahitaji moyo
ndio hapo nasema siku zote Mungu haiti watoto wadogo wala tusimhusishe Mungu
Mungu alimleta aje amtumikie lakini mtawala wa dunia hii ndio huharibu kazi ya Mungu kwa kuwaiba malaika wake hao
bahati nzuri mtawala wa dunia ameshahukumiwa
Mtoto kwa sasa yupo mikononi mwa baba, joka liliotamani kummeza limeshidwa kwani Malaika wamemweka pahali pema.
 
Inna Lillah Waina Illahi Rajoon
Sisi ni wa Mwenyezi Mungu nasi Kwake sote tutarejea.

Dah! Huu ni msiba mkubwa sana kwa kweli... Pole sana ndugu, Mwenyezi Mungu akujaalie upate mtoto mwngine atakaye rudisha furaha yako na familia yako Insha'Allah.
 
asanteni sana wakuu. tunamshukuru Mungu. yeye ndiye aiwekaye tufe ya dunia mkononi mwake. uweza na nguvu vina yeye hata milele na milele, amina
 
Nakushauri uuweke tena huo wimbo..........shukuruni kwa kila JAMBO..................hERI WAFU WFAO KTK BWANA.........Huyu bila shaka hajaonja dhambi za Dunia hii, ni changamoto kwako Ujitahidi Uingie kwenye LANGO LA BWANA........Ili ukakutane nae tena KWENYE raha ya milele.........
 
Mwenyezi Mungu awafariji na kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu. RIP in peace. lovely little angle.
 
Back
Top Bottom