Tanzia: Zakaria Ndemfoo wa Machame Kisiki

R.I P nguli wa salama enzi hizo akiwa sambamba na Jofrey Njeleka wa mkwajuni Chunya Mbeya(sasa Songwe). Bila kujisahau mimi mwenyewe nikirindima kutuma salamu Idhaa ya kiswahili ya Channel Afrika miaka ya 80's 90's. Wakati huo watangazaji ,,,William Njelanje, Kaleja kaunda wakifanya vyema kabisa as radio presenters kwa habari na vipindi vya salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vp suzy ngodoki

Lawina nsonda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pumzika Mwamba , mwendo umeumaliza.
Raha ya Milele umpe ee..Bwana na Mwanga wa Milele umuangazie apumzike kwa Amani....Amina.
 
ENZI HIZO MIKOANI WANAIPATA TBC TU KWENYE SHORTWAVE PEKEE NA STESHENI ZA NJE PIA, HAKUNA FM.
 
Alikuwepo mwingine wa Mahuta shimoni Newala akiitwa Wajad Fundi Wajad na Halleluya Mushi Kimboka. Hawa walikuwa hawakosi salaam kwenye RTD na Deutch Welle. RIP Mwana Salaam maarufu East Africa.
Huyo wajad Fundi wajad Jana tu nimemsikia akiitakia Simba ushindi dhidi alliance . Hivyo yupo anakula happy.
 
Alikuwepo mwingine wa Mahuta shimoni Newala akiitwa Wajad Fundi Wajad na Halleluya Mushi Kimboka. Hawa walikuwa hawakosi salaam kwenye RTD na Deutch Welle. RIP Mwana Salaam maarufu East Africa.
Wajadi Fundi yupo, kila mara nawasikia kina Swedi Mwinyi wanamtaja wanapotangaza mpira.
 
R.I P nguli wa salama enzi hizo akiwa sambamba na Jofrey Njeleka wa mkwajuni Chunya Mbeya(sasa Songwe). Bila kujisahau mimi mwenyewe nikirindima kutuma salamu Idhaa ya kiswahili ya Channel Afrika miaka ya 80's 90's. Wakati huo watangazaji ,,,William Njelanje, Kaleja kaunda wakifanya vyema kabisa as radio presenters kwa habari na vipindi vya salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
RSA watangazaji kwa kiswahili walikuwa ni Duncan Kandawire, Francis Chandiona, William Jeranje na Boston Calleja Kaunda.
 
Back
Top Bottom