Tanzia: Zakaria Ndemfoo wa Machame Kisiki

Tanzia: Zakaria Ndemfoo wa Machame Kisiki

Hahahaa huyu yupo fresh kabisa mkuu,wala hajazeeka bado,anaishi Arusha njiro,ni dereva wa Lorry,, enzi hizo akiwika kwenye salamu alikuwa mtumishi wa Tanesco, pia nimejaaliwa kukutana na mwingine akiitwa Kafimbi juma (jina kubwa) yeye anaishi Arusha unga ltd,ni kada maarufu wa ccm arusha,nbZakaria ndemfoo alikuwa akiishi babati kea kuwa ndipo alipokuwa akifanyia biashara zake ila kwao ni machame na alipenda kutambulisha machame kama home land yake,hata Manka mushi pia alikuwa na biashara zake babati. Rip Ndemfoo
huyu wakuitwa JUMANNE SEBARUA TINGISHA naye yupo wap kwa sasa maana n miaka mingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona sijawaona aliokuwa akitumiana salamu wakijitokeza humu! Kulikoni?
 
Back
Top Bottom