Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 7,614
- 12,449
Wale waliuawa kama adhabu kutokana na chukizo walilofanya mbele ya Mungu. Je, na mimi nikuulize, Lazaro aliuawa na nani? Kama angekuwa ameuawa na Mungu, Yesu angethubutu kumfufua? Angefanya hivyo si angekuwa amepingana na baba yake (Mungu)? Hebu tafakari.
Jamaa unataka kuibua mjadala chonganishi.
A very brilliant argument.
Bandiwe.
Majibu au bado unatafakari?