mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,223
- 4,681
Taarifa nilizozipata hivi punde ni kuwa member mwenzetu wa Jf William Malecela almaarufu Le Mutuz amefiwa na mama yake mzazi usiku huu. Msiba upo Mbeya.
Tuungane kumpa pole Le Mutuz na family yake.
Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu. Amin!
Tuungane kumpa pole Le Mutuz na family yake.
Mungu ailaze mahala pema roho ya marehemu. Amin!