Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Mbona waislam wa Nigeria kaskazini ni maskini?, Mbona waislam wa Mombasa ni maskini, Mbona mwarabu ameachwa nyuma na Wa Asia wenzake kama akina China, Japan kitechnolojia?, Mbona mparestina kaachwa kimaendeleo na Mwisrael?,mbona visiwa vya Comoro hoi?,au huko kote ni Nyerere

maswali ya msingi sanaaa
 
Umaskini upo lakini wenzetu mmeambiwa mfumo christo unawarudisha nyuma, sasa sijui Saudi Arabia kwenye mfumo islam wamepeleka vifaa vingapi mwezini

kurusha vifaa ndo nini wewe........wewe na kanisa lako mmerusha vingapi juu...
 
haya nshakusikia sema jingine
Watu wanamkashifu mwanazuoni Ilunga wewe unataka thread ifungwe....angetukanwa yule sanamu wenu ungesema nini? speechless.

Use of profanities will never take you to paradise..and I have never seen or read any of respected muslim cleric use profanities. .
 
teh teh teh!
Huyo mungu asie na hasira tumsome kidogo huruma yake hapa!

Isaya 59; 29

26-na hao wanaokuonea nitawalisha nyama yao wenyewe, nao watalewa kwa kuinywa damu yao wenyewe, kama kwa mvinyo mpya; na wote wenye mwili watajua ya kuwa mimi, bwana, ni mwokozi wako, na mkombozi wako ni mwenye enzi wa yakobo.

Huyo mungu wako anasema sisi tusio wakristo tutakula nyama yetu wenyewe!

Na mimi namwambia kabla ya kula ya kwangu ntaanza na makalio ya kakende kwanza halafu ya kakende halafu ya matola.

Yakiisha hayo naenda mwanza kula ya baba paroko eiyer na wapambe wake!

ndio, gaidi ilunga na osama watakunywa damu yao
 
ILUNGA hatari kwa taifa... hata hivyo alale pema peponi
 
Unatumia kigezo gan kusema ilunga na boko haram wanafanana??
Mkuu wangu THE BIG SHOW, sitaki kuwa mnafiki katika hili... ni Waislamu wenyewe ndio tunapotosha dini yetu. Kule Mombasa aliuawa Sheikh, kuona hivyo, Sheikh Ilunga akawahamasisha Waislamu kwamba Kuran imetoa ruhusa ya kisasi na hivyo, kv Sheikh ameuawa basi Waislamu wa Mombasa nao badala ya kuchoma magari moto, waue padri au askofu... akafanya reference Surat Baqara 178! Ni matumaini yangu unasoma Koran..., Surat Baqara 178 inaanza kwa kusema "Enyi mlioamini! Mmepewa rukhsa kulipa kisasi katika waliowaua... muungwana kwa muungwana na mtumwa kwa mtumwa na mwanamke kwa mwanamke...." na mwisho wa aya hiyo inamalizia "Na atakayeruka mipaka baada ya haya, basi yeye atapata adhabu iumizayo"

Mkuu wangu ikiwa ulienda Madrasa na ukatulia bila shaka unafahamu Koran ilikuja kidogo kidogo kwa miaka zaidi ya ishirini kwavile baadhi ya Aya zilikuwa zinashuka kuja kukemea au kufunza jambo fulani! UKisoma Koran bila kufahamu historia ya kila aya, lazima utatafsiri ndivyo sivyo! Kwa mfano, Aya niliyoitaja hapo juu ilikuja kukemea tabia za Waarabu wa wakati ule... ilivyokuwa, mathalani kv NasDaz mimi ni hoe hae, ikitokea kwamba mathalani nimeua Housegirl wa JK, kwa tabia za Waarabu wakati ule wangesema kv JK Family ni royal family, basi House Girl wao ni sawa na Baba mwenye nyumba wa familia ya NasDaz! Kwahiyo, ingewaje nimeua Housegirl, ktk kulipiza angeuawa baba yangu!! Au tuseme ingekuwa Riziwan ananiua mimi... kwa tabia zao wakati ule, wangesema kv Riz1 ni from Royal family na NasDaz alieuawa ni hoe hae, basi wao wangetoa labda Shamba Boy ili ahukukumiwe. Kutokana na tabia hiyo ambayo ilienea miongoni mwa Waarabu, ndipo ikashuka Surat Baqara 178 na kusema "Mtumwa kwa Mtumwa" na "Muungwana kwa Muungwana" na si ten kujifanya hawa ni untouchable na wale ndo wasio na haki! Lakini Baqara 179 inamalizia " mtakuwa nao uhai katika kulipiza kisasi enyi mlioamini" Hapa sababu ikiwa wazi kabisa kwamba ikiwa unafahamu kwamba ukiuawa nawe utauawa, basi lazima utaogopa tu!!

Lakini Sheikh Ilunga baada ya kuuawa yule Sheikh wa Mombasa, yeye akasema basi akamatwe Padri nae auawe! Lakini lazima tukumbuke kwamba hukumu zote ktk Uislamu zina taratibu zake... mathalani, ingawaje hukumu ya Mwanamke mzinzi ni kupigwa mawe hadi kufa huwezi kufanya hivyo hadi patokee mashahidi wannne wenye kuheshimika na kumuogopa Mungu washuhudie kwamba mwanamke huyu amezini... Sasa Ilunga anapohamasisha watu wakamate padri wauwe kwa kutumia taratibu zipi? Haidhuru, hata Koran iliyaona hayo mapema ndio maana ikamalizia "Na atakayeruka mipaka baada ya haya, basi yeye atapata adhabu iumizayo!" Huwezi kusikia Sheikh ameuawa kisha nawe ukakurupuka ukaenda kuua Padri ukasema ndivyo Koran inavyosema.... huko ni kuvuka mipaka ya KOran na wala sioni aibu kusema tuache kupotosha maandiko yetu wenyewe!

Haya turudi kwa hao Boko Harama!! Hivi kweli mnaamini watu kama wale wanapigani dini? NI wapi na lini Uislamu umefundisha kupita kuua watu wasio na hatia? Hivi ni Uislamu gani unakamata mabinti wadogo unaenda kuwaua? Ni mara ngapi Boko Haram kule kwao wameshambulia shule na kuua watoto... ndo Uislamu unavyosema hivyo?

Sasa ikiwa Boko Harama na Sheikh ILunga wanapitisha mipaka ya yale yaliyosemwa kwenye Koran, basi kwa hakika wote ni sawa! Hili silionei haya kulisema hata kama nitaonekana Kafri.
 
Last edited by a moderator:
Mungu wa mbinguni, aliyeumba mbingu na nchi na vitu vyote viujazavyo ulimwengu, aliyetuasa tumpende, tupendane na tushimiane sisi kwa sisi. lkn ALLAH NI KATILI usimwabudu huyo

Leta source kuwa Allah katili.......Allah ndio kaniumba mimi,wewe na kila kiumbe unachokiona na usichokiona......Allah kaumba wanadamu halafu akawapa njia wamshukuru au wamkufuru......hapa ni uamuzi wa mtu kumuamini au kumkufuru kama kafiri wewe
 
kurusha vifaa ndo nini wewe........wewe na kanisa lako mmerusha vingapi juu...

Uwiiiii! Christians are so blessed, wakristu ndio wagunduzi wakubwa, ndio powerful, ndio wanasayansi wa kwanza, hata huku Afica wakristu ndio powerful ki uchumi, na tutaendelea kuwa powerful kwa kuwa tunamwabudu Mungu wa kweli, asiependa visasi na mauaji
 
hakika ya wew(muhammad) maiti,na hao pia maiti,kisha mbele ya mola wenu siku ya qiyama atawahukumu juu ya yale mliyohitilafiana.
Mkuu, mtu wa dini akihubiri mifarakano na kushabikia ukosefu wa amani, huwa anahukumiwa hapa hspa duniani.
Mungu anamalizia tu.
 
Atakuwa pamoja na yesu aliyejitoa muhanga akafa kifo cha laana msalabani.

Na yeyote mwenye kulaaniwa lzm aingie jahannam. Kama alivyolaaniwa yesu kufa msalabani.

Ndugu yangu hawa makafiri wasije wakatufanya tukakosea, kwa imani yetu yesu au isa mwana wa mariam ni mtume wa Allah. Japokuwa ukisema yesu si mungu unakuwa mchochezi au kuingilia imani za watu, ila anaesema yesu ni mungu haleti uchochezi. Haki siku zote inapingwa.
 
Kulikoni tena kamanda matusi mliowatukana Waislam yametosha.

I dont tolerate profanities on either side and strongly condone such erratic behaviour. ..one thing for sure no religion allows profanities. .whoever does it with excuse of retaliation has no difference from the initiator..
 
Use of profanities will never take you to paradise..and I have never seen or read any of respected muslim cleric use profanities. .

Whom do you define "respected muslim"!
Do you mean the one who try to please the Kufar! Like my brother upthere!?

We dont negotiate with Idol worshippers!

We take them down!

Thats how we do our business!
 
Leta source kuwa Allah katili.......Allah ndio kaniumba mimi,wewe na kila kiumbe unachokiona na usichokiona......Allah kaumba wanadamu halafu akawapa njia wamshukuru au wamkufuru......hapa ni uamuzi wa mtu kumuamini au kumkufuru kama kafiri wewe

Aya za ukatili hizi hapa wala usiangaike na huyo niulize mimi

"Slay them wherever you find them...Idolatry is worse than carnage...Fight against them until idolatry is no more and God's religion reigns supreme." (Surah 2:190-)

"Fighting is obligatory for you, much as you dislike it." (Surah 2:216)

"If you should die or be slain in the cause of God, His forgiveness and His mercy would surely be better than all the riches..." (Surah 3:156-)

"Seek out your enemies relentlessly." (Surah 4:103-)

"Believers, take neither Jews nor Christians for your friends." (Surah 5:51)

"Make war on them until idolatry shall cease and God's religion shall reign supreme." (Surah 8:36-)

NB kuna ushahidi mwingi wa Ukatili wa ALLAH, soma hizo kwanza
 
Use of profanities will never take you to paradise..and I have never seen or read any of respected muslim cleric use profanities. .

Unanihukumu kama nano?wewe kwani mungu eheee sawa iweje.
 
Whom do you define "respected muslim"!
Do you mean the one who try to please the Kufar! Like my brother upthere!?

We dont negotiate with Idol worshippers!

We take them down!

Thats how we do our business!

Either way but use of profanities intended to whoever is not tolerated in islam
 
Ndugu yangu hawa makafiri wasije wakatufanya tukakosea, kwa imani yetu yesu au isa mwana wa mariam ni mtume wa Allah. Japokuwa ukisema yesu si mungu unakuwa mchochezi au kuingilia imani za watu, ila anaesema yesu ni mungu haleti uchochezi. Haki siku zote inapingwa.

Yesu hayumo KWENYE QURAANI!

Tulienae sisi ni ISSA IBN MARIAM ambae ni mtume wa ALLAH.
Hakusulubiwa kama yesu wa kigalatia!
Wala sio mzungu kama zile sanamu na picha wanazoabudu!

Hao unaowaita MAKAFIRI sio watu wa kubembeleza!

Hawa wakizidi sana ni kuwatanguliza akhera tu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom