Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Hizo ndizo aya zinazotumiwa na MGAIDI wa KIISLAM DUNIANI KAMA KAHTAN,nieleweshe basi

Siwezi kukuelewesha WEWE maana hutataka kuelewa angekua mwingine ningemfahamisha,we baki na ukafiri wako huo uone mwisho wako utakuaje IDIOT.
 
Kwa jinsi nionavyo sisi watanzania siku ikilipuka vita ya dini basi itakuwa historia duniani maana tunachukiana kupita maelezo na hapo ndio wazungu wamefanikiwa.enyi waja wa mungu rudini kwake mtubie kwani ufalme wa mbinguni hautopatikana kwa wale wanaokandamiza wenzao hapa duniani
 
Kwa heshima yangu kwako, nalazimika kutokukujibu post hii inagwaje nilishapoteza muda mwingi kukujibu post nyingine... haidhuru, unaweza kuikataa heshima ingawaje nakuombea urejewe na moyo wa imani na ustahimilivu! Mrejee Mtume wako wakati anadhalilishwa na watu ambao wengine ni ndugu zake lakini hakupata kumuudhi yeyote!!


unaposema mtume wako tayari umeshajitoa katika uislam.
Ktk mambo 10 yanayomtoa mtu ktk uislam hilo ni moja wapo. Kwanini usikae kimya?
 
Mbona tena unapingana na maneno yako wewe si ndiyo umesema ni Mungu pekee ndiyo anatambua ya nafsi yako siyo binadamu...lakini ukija kwa Ilunga unapingana na kauli yako na kutoa hukumu moja kwa moja kwa Ilunga.

Na umesema hautaki kusimama kumtetea Ilunga ili utake uonekane Muislam lakini hapo hapo unataka uonekane Muislam kwa kumponda Ilunga, kazi kweli kweli.

Halafu huo mfano wako sijui umeupata wapi daa!!
Nimetoa hukumu vipi wakati nimetoa aya kwamba "Na atakayeruka mipaka baada ya haya, basi yeye atapata adhabu iumizayo!" Kuna yale ya dhahiri na ya siri... Ilunga amefanya kwa dhahiri na kupotosha Koran! By the way, ni nani kati yetu anayetaka aonekane Muislamu zaidi yenu ambao mnajiona kwamba ndio Waislamu sana mnaoujua sana Uislamu na kuamua kutetea ujinga na asiyetetea huyo ni Kafiri! Kwa hakika, tunaidhalilisha dini yetu...
 
nasikia watu wlikuwa wengi sana kwenye mazushi ya ustadhi ilunga.mwenye picha za mazishi atuwekee
 
unaposema mtume wako tayari umeshajitoa katika uislam.
Ktk mambo 10 yanayomtoa mtu ktk uislam hilo ni moja wapo. Kwanini usikae kimya?
Wewe wala huna haki ya kuuondosha Uislamu wangu kwavile Uislamu wangu umejikita kwenye nafsi yangu! Unaweza jikuta ewe unayejiona ndo bora kuliko wengine ukawa ndie mwenye hasara kubwa mbele ya Mungu!! Lakini ukitaka nikae kimya, basi labda usini-quote kwa maana ukini-quote, by rule of thumb, nitalazimika kukujibu! Wengine wote humu ambao mnajiona ni Waislamu safi, mlianza nyinyi kuni-quote... sasa inakuaje tena nawajibu unaniambia nikae kimya?! Lakini ajabu nyingine ya Waislamu safi nyinyi, tangu mwanzo nimewaomba Aya, hakuna hata mmoja wao aliyetoa aya inayobariki maneno ya Chuki aliyokuwa anahubiri Sheikh Ilunga!!!
 
Nawakubali sana baadhi ya Mashekhe, Mfano Shekhe Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mungu ampe maisha marefu na kumzidishia busara, uelewa na hekima aliyonayo katika mawaidha yake.

Kwa Ilunga Mmh!!!!
 
Naomba uliza nimesikia kwa magazeti ya leo ati shekhe ilunga kafa, je ni yuleyule aliyetoa agizo la kuuwa makadinali.
 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.
Maalim Seif Sharif Hamad, amewaongoza maelfu ya
waislamu katika mazishi ya sheikh maarufu wa
Mkoa wa Mwanza na mwanaharakati wa dini ya
Kiislamu marehemu sheikh Ilunga Hassan Kapungu.
Sheikh Ilunga amefariki dunia mjini Dar es Salaam
na kuzikwa katika makaburi ya Mwinyimkuu
Magomeni.
Katika uhai wake sheikh Ilunga Kapungu alikuwa
mwanaharakati ambaye mara nyingi alikuwa
akiendesha mihadhara ya wazi ya dini ya Kiislamu,
ambapo mwishoni mwa mwaka 2013 alikamatwa
kwa tuhuma za uchochezi mkoani Tabora na
baadaye kuachiwa huru.
Kwa mujibu wa taarifa za kimtandao, kabla ya
kukamatwa kwake na kuachiwa huru Disemba
mwaka 2013, marehemu sheikh Ilunga alikwenda
nchini India kwa matibabu baada ya kusumbuliwa
na matatizo ya figo pamoja na sukari.
Akizungumza katika mazishi hayo sheikh Basaleh wa
Dar es Salaam, amesema marehemu sheikh Ilunga
alikuwa mwanaharakati imara na ni mfano mzuri wa
kuigwa katika harakati za dini ya Kiislamu.
Mazishi yake yameweka historia baada ya maelfu ya
waislamu kujitokeza kushiriki kwao, hali iliyopelekea
mchanga wa kaburi lake kufukiwa kwa mikono
badala ya kutumia mapauro na majembe kama
ilivyozoeleka.
Masheikh kutoka Mikoa mbali mbali ya Tanzania
wameshiriki mazishi hayo akiwemo sheikh Kishki.
(HAKIKA YA SISI NI WAJA WA ALLAH NA NI KWAKE
YEYE TU MAREJEO YETU)
Allah tunakuomba umsameh madhambi yake na
umjaalie kuwa ni miongoni mwa waliofuzu na
umjaalie makaazi katika FIRDAUS
 
huu ni ushahidi kwamba uislamu ni dini ya kigaidi inayokupambatia na kuwaenzi waovu na mashetani.

gaidi ilunga sasa hivi yuko jehenamu sambamba na founder wa ugaidi ambaye pia ni marehemu.
 
huu ni ushahidi kwamba uislamu ni dini ya kigaidi inayokupambatia na kuwaenzi waovu na mashetani.

gaidi ilunga sasa hivi yuko jehenamu sambamba na founder wa ugaidi ambaye pia ni marehemu.

Wewe mnyelo wacha maneno mbofu mbofu
 
Kama kawaida j.k hakuwepo kwenye mazishi wala kiongozi yeyote wa rerikali wa bara.lakini ingekuwa na mazishi ya askofu angekuwepo.haya bwana tushazoea waislam.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom