Tanzia: Ustadh Ilunga afariki dunia

Status
Not open for further replies.
Jamaa alisema waislamu waue askofu au kadinali...nilishtuka manake navyojua kadinali yupo mmoja tu East Africa...nafikiri Pengo alishtuka zaidi
 

Nilimchukia lakini Mungu amempenda zaidi
 
Kiukweli Ilunga alikuwa mchochezi sana .
Maneno yake yalikuwa ni sumu, japo vita yetu si katika damu na nyama.
 
Ustadh ILunga umetimiza wajibu wako umetufundisha Mengi kazi imebaki kwetu. Nenda kapumzike salama, Allah akupe pepo ya juu kabisa pepo ya manabii.
 
Ilunga kashamaliza mizigo 40, mingine 60 inamsubiri kesho.

Hivi kama Peponi raha kihivyo, kwa nini wanapenda sana kutanguliza wenzao?

 
Last edited by a moderator:
Sisi sote ni marehemu watalajiwa acha kujidanganya.
Naku support kwa kulitambua hilo mkuu,na unatakiwa kufahamu kuwa kazi ya Mungu haina makosa.Kama imani yako inakufundisha kuwa kuna Kiama,then you should know that there is life after death,na wapi unakwenda baadaye inategemea zaidi maisha unayoishi sasa hivi ukiwa ktk mwili.

Kwa kifupi binadamu huvuna alichopanda,ukipanda uharibifu utavuna unachostahili,ndiyo maana mara nyingi nimekuwa nikipigania watu kuzitambua nafasi zao na kuwatendea haki wale mnaowaongoza,ili ukitenda vema ni Mungu pekee ndiye anayejua wapi unastahili kwenda,kuliko kujifanya mungu mtu na kusahau yupo MUNGU wa kweli na mwenye haki asiyeangalia wingi wa mali wa wasio haki.

Nashukuru kulitambua hilo ila rekebisha neno ulilotumia,nadhani ni Watarajiwa na si watalajiwa,hasa ukizingatia fani yako ya sheria kuwa inaweza kubadili maana kusudiwa. Asante.
 
mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee ilunga
ndiyo yeye huyo: Tutamkumbuka sana kwa maneno yake ya uchochezi wa kidini. Apokelewe anapostahili!!!
 
R.I.P "COMRADE" ILLUNGA.Bado ASKOFU MPEMBA.
 
Kidume kimetutoka...Allah amsamehe kwa alokosa...Ameen
 
Hivi hadi saa hii huu uzi umetengeneza 'ban' ngapi?!
 
Mkuu asante sana, za siku aisee? Nimemuona, ila sijui namfananisha na yule mzee alikuwa anasema waislam wawaue mapadri, sjui ndio huyu ama nimemix, anyway yaliopita si ndwele apumzike kwa amani mzee Ilunga
Ndo huyohuyo mkuu... Alikuwa anapenda sana kuwagawa watanzania kwa dini zao. Alikuwa ni mchochezi sana..
 
Hivi huu mstari uwa una maana gani katika biblia?

"Mpende adui yako" maana kama unafunga kula kwa kumuombea kifo (au jambo lolote baya) adui, then sijui huo ni uikristo gani!
Ungeishi kwa misingi ya huo mstari unaojaribu kuu-quote bila kuuelewa nadhani dunia ingekuwa mahali pema pa mwanadamu kuishi kama Mungu alivyopakusudia.

Uovu ndio umeiharibu dunia,badala ya wanadamu kuelewa adui yao ndiye adui wa Mungu,wao badala ya kushirikiana kupminga shetani wanaungana na shetani kuiharibu kazi ya Mungu.

Ukitafakari utaelewa kuwa imekuwa rahisi kwa mwanadamu kuteam na shetani ili kupambana na Mungu kuliko ku-team up na Mungu kuziharibu kazi za shetani.

So haya yote ni matokeo yanayotegemea uko kwenye team ya nani, ya MUNGU au ya shetani.

Uhakika wa matokeo ni kuwa kamwe shetani hatashindana na Mungu. Hongera kama uko team ya Ushindi, na kama ni vinginevyo tafakari uhamie team ya ushindi before it's too late for you.
 


Hakuwa mbali sana na ukweli kaka. Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya kanisa katoliki na Uislamu. Uhusiano huu upo toka enzi za Pontio wa Pilato. Tazama presentation hii hapa :The Islamic Connection to Rome Catholicism - YouTube
 
Kidume kimetutoka...Allah amsamehe kwa alokosa...Ameen

Ni kweli ALLAH atamsamehe kwa kuwa alitimiza maagizo yake. Lakini Mungu muumba wa mbingu na nchi, mwenye upendo kwa watu wote, hasietaka visasi (JEHOVA) hatomsamehe
 
Huo ndio upendo mnaofundishwa kanisani na kujitangaza wakristo mnafundishwa upendo?
Kazi ya Mungu haina makosa.
Hakuna mwanadamu anayeweza kushindana na kazi ya Mungu akabaki salama.
Mtu huvuna anachopanda. Inabidi kutawala sana ulimi,kwani ulimi ndio source ya madhara yote ktk maisha yetu. Hivyo ukiutumia vibaya,aliyekuumba anao uwezo wa kukuondoa ili usiharibu kazi yake.
Ni swala la muda tu kwa kila anayeingilia interests za Mungu wa kweli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…