Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,883
- 155,856
Tujifukizie... Hasa sisi watu wazima wenye magonjwa yasiyo ya kuambukizwa
Kwahio ndani ya masaa 24 tumepoteza Watu wanne Yule DC wa Kusini, Mzee Kificho, Mzee Kamote na Jaji Kakwima
Duh hii speed ya kutangaza misiba inatosha! Mungu atuepushie
Eee Mungu baba tuhurumie
Eee Mungu baba tuhurumie
Bila shaka you are above fifty na bado unajibizana hapa JF na wajukuu zako.Poleni sana tena sana. Tulikuwa wote JKT
Perfect, wajukuu hawana adabu. Mnafundishwa na nani matusi kwa babu zenu! Wajukuu mnasema uzee mwisho Chalinze! Tukishaingia mjini kila mmoja ni chizi! Wewe huoni jmaa ameikimbia familia, ni kwa vile mjini shule!Bila shaka you are above fifty na bado unajibizana hapa JF na wajukuu zako.
Bila shaka you are above fifty na bado unajibizana hapa JF na wajukuu zako.
Pole sana waliofikwa na msiba.
Mbona watu wanakufa tu kila siku kakae muhimbili eneo la chumba cha maiti uone shughuli ya paleHivi vifo ni hivi hivi tu ?Mbona vimekuwa vingi kuliko kawaida?
Kwahio ndani ya masaa 24 tumepoteza Watu wanne Yule DC wa Kusini, Mzee Kificho, Mzee Kamote na Jaji Kakwima