Mtikisiko wa Viwanda: Mapato ya Kampuni ya Bia ya TBL yashuka


S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,730
Points
2,000
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,730 2,000
TANZANIA Breweries Limited Group of Companies (TBL), which is among the country’s largest taxpayers, yesterday announced poor business performance in the past six months ending September 30.
0 Comments

The announcement came as the Confederation of Tanzania Industries (CTI) requested the government to seriously study the situation behind poor production among manufacturing concerns in the country.

According to the company’s results that were announced yesterday, TBL has recorded revenue decline of 7 per cent over the previous year. The report shows that the company has experienced challenging market and economic conditions during the six months.

The CTI Director of Policy and Advocacy, Mr Hussein Kamote, told the ‘Daily News’ in Dar es Salaam that his office was aware that most of industries are recording low production across the country and hence the need for the government to study the situation.

He said some industries were planning to retrench workers and others are about to close businesses. Mr Kamote said CTI has already secured fund to conduct the study on the situation and that it is set to commence on December 1, 2016. “CTI is aware of the current situation with local industries.

It is not a good trend. We need to find a collective solution as soon as possible,” he said. According to Mr Kamote, the government must find out why local industries are not doing well so that it could be easily to attract more investors to invest in the sector.

“There is need for the government and all other stakeholders to ensure industries record good performance, this will help to convince other investors to allocate their capital in the country and establish more industries,” he noted.
Earlier, the TBL Managing Director, Mr Roberto Jarrin, announced that his company has registered a decline in revenue. He said in the past six months, consumers of TBL products failed to confidently use them due to various strict measures that have been imposed.

“Consumer confidence has been subdued and together with the impact of stricter enforcement of trading hours,” he said.
Mr Jarrin said that overall volumes were down by 8 pc for the half year, compared to the same period last year. Moreover, the company has faced another big challenge by experiencing consumer shift towards more affordable products.

The move resulted into an increase in pressure on the company’s margins as reflected in the gross profit and operating profit for the period, which ended 12 and 13 pc down respectively on the previous year. According to the report, total cash generated from the operations in the past months ended on September 30, this year amounted to 195bn/-.
Out of this, 54bn/- was allocated for paying corporate tax while 141bn/- was used to fund interests and capital expenditure. Moreover, TBL allocated 104bn/- for paying dividends to company’s shareholders.

However, Mr Jarrin said apart from all those challenges, which resulted into the fall in earnings, the company still focuses on the management of the working capital and has been able to increase the interim dividend to 350/- per share.

In January, this year, Mr Jarring said, the company was planning to double annual tax revenue payments from the current 400bn/- to 800bn/- within five years.

According to a business analyst, Mr Raphael Masumbuko, most of local companies that depended on local market alone are likely to suffer when the country’s economy seems to undergo certain changes.

Mr Masumbuko, who is also the Chief Executive Officer of Zan Securities Limited, added that when a new government comes to power, some investors tend to ‘buy time’ to be sure with the new system before floating cash for circulation.

“It is possible some investors are still studying the situation. They want to be sure if the new system fits with their business operations. Therefore, some industries, including TBL, are likely to be experiencing this situation,” he added.

Chanzo: Daily News
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,311
Points
2,000
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,311 2,000
Wanywaji wamepungua....!!
 
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2011
Messages
2,977
Points
2,000
BAFA

BAFA

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2011
2,977 2,000
Hivo mengi na mafuruki huwa wanawakilisha private sector ipi dahhh maana wana makala zao takatifu kumsifia mkuu
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,730
Points
2,000
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,730 2,000
"Bavicha" hebu wacheni huu uchochezi wenu.........hivi hamjui kuwa uchumi wetu unaenda "vizuri sana" kwa mujibu wa "takwimu rasmi"?:(:(
Kweli inabidi tuache uchochezi maana uchumi wetu unakua kwa kasi kabisa.
 
D

Duterte

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2016
Messages
1,066
Points
2,000
D

Duterte

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2016
1,066 2,000
Hili nalo lilihitaji utabiri!? Watanzania sijui nani katuroga!!!
Ni dhahiri kutokana na kuminywa kwa mianya ya ufisadi na Uhujumu wa Mali za umma watu watapunguza matumizi yasiyo lazima....pombe na starehe zikiwa miongoni mwa matumizi yasiyo lazima.
Tufanye kazi kwa bidii na kukubali hizi Zama na Kitabu chake. Mbadala wa hapo ile takwimu ya 1*4 (mmoja kati ya wanne) itapanda mpaka kufikia 3*4 (watatu kati ya wanne) kusumbuliwa na magonjwa ya Akili.
 
Ambiele Kiviele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Messages
14,509
Points
2,000
Ambiele Kiviele

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2014
14,509 2,000
Nchi Yangu Ndio Inapotea iyooo
 
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
9,677
Points
2,000
Crocodiletooth

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2012
9,677 2,000
-->>Tanzania ya viwanda inakuja...!?.
 
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Messages
8,787
Points
2,000
Age
35
Nichumu Nibebike

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined Aug 28, 2016
8,787 2,000
TBL are in tall water!
 
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2009
Messages
11,668
Points
2,000
Faru Kabula

Faru Kabula

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2009
11,668 2,000
Utaambiwa ni upungufu ulioikumba dunia nzima! Hata bandarini tuliambiwa mizigo imepungua dunia nzima, lakini baada ya siku chache tukaja kuambiwa kuwa Joseph Kabila amekubali kurudi katika bandari ya Dar
 
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2015
Messages
15,929
Points
2,000
mjingamimi

mjingamimi

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2015
15,929 2,000
Si bhado miaka 9.?IPO siku wote tutaimba wimbo mmoja.
 
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Messages
33,730
Points
2,000
S

Salary Slip

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2012
33,730 2,000
Hili nalo lilihitaji utabiri!? Watanzania sijui nani katuroga!!!
Ni dhahiri kutokana na kuminywa kwa mianya ya ufisadi na Uhujumu wa Mali za umma watu watapunguza matumizi yasiyo lazima....pombe na starehe zikiwa miongoni mwa matumizi yasiyo lazima.
Tufanye kazi kwa bidii na kukubali hizi Zama na Kitabu chake. Mbadala wa hapo ile takwimu ya 1*4 (mmoja kati ya wanne) itapanda mpaka kufikia 3*4 (watatu kati ya wanne) kusumbuliwa na magonjwa ya Akili.
Sasa kama hata madeni ya ndani hamtaki kulipa na hela mnafungia BOT, mnatarjia mzunguko wa hela utatatoka wapi?

Kumbuka hiyo TBL ni mlipaji mkubwa wa kodi hivyo jiulize ni kiasi gani cha kodi serikali inaweza kupoteza.

Serikali inataka mapato wakati huo huo inaua biashara inasahau Raisi Mstaafu Kikwete aliwahi sema,"Ukitaka kula, lazima uliwe".

Swala la kufungia hela BOT halikupaswa kufanywa kwa haraka bali serikali ingetoa muda wa utekelezaji wa mpango huo ili kutoa nafasi kwa mabenki kujiandaa kukabiliana na hali hiyo.

Pia serikali ilipe madeni ya ndani yakiwemo madai ya watumishi wa umma,madeni ya wakandarasi,kuongeza mishahara ya watumishi,n.k ili kuwaongezea wananchi purchasing power waweze kuchochea ukuaji wa uchumi na si kufungia hela BOT.

Kosa lingine ni hata miradi ya maendeleo kutotekelezwa matokeo yake hela haziingii kwenye mzunguko zinabaki serikalini.
 
kson m

kson m

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
5,633
Points
2,000
kson m

kson m

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
5,633 2,000
"Bavicha" hebu wacheni huu uchochezi wenu.........hivi hamjui kuwa uchumi wetu unaenda "vizuri sana" kwa mujibu wa "takwimu rasmi"?:(:(
Watanzania kwa Mara ya kwanza wameushinda umasikini ujinga na maradhi.wameweza sasa kuishi juu ya mstari WA ufukara na sasa kila mtanzania anapata Milo mitatu.nafasi za ajira zimeongezeka,na unemployment imepungua sana.kweli uchumi umekua.!!!!
 
M

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Messages
1,119
Points
2,000
M

mchepuko

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2014
1,119 2,000
Hili nalo lilihitaji utabiri!? Watanzania sijui nani katuroga!!!
Ni dhahiri kutokana na kuminywa kwa mianya ya ufisadi na Uhujumu wa Mali za umma watu watapunguza matumizi yasiyo lazima....pombe na starehe zikiwa miongoni mwa matumizi yasiyo lazima.
Tufanye kazi kwa bidii na kukubali hizi Zama na Kitabu chake. Mbadala wa hapo ile takwimu ya 1*4 (mmoja kati ya wanne) itapanda mpaka kufikia 3*4 (watatu kati ya wanne) kusumbuliwa na magonjwa ya Akili.
Upo sahihi mkuu....watu hawawez kulielewa hili...kwanza ni aibu kwa sekta ya bia kuwa ndio the leading taxpayer...ina maana watu wanafanya sana starehe ...kuna sector zingine naziona zitaemerge as leading taxpayer..wacha tbl aporomoke....no issues!! na zaid naomba wajikite kwenye sector yao ya bia sio kukaa na kuchambua sector zingine zisizowahusu....
 
M

mchepuko

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2014
Messages
1,119
Points
2,000
M

mchepuko

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2014
1,119 2,000
Sasa kama hata madeni ya ndani hamtaki kulipa na hela mnafungia BOT, mnatarjia mzunguko wa hela utatatoka wapi?

Kumbuka hiyo TBL ni mlipaji mkubwa wa kodi hivyo jiulize ni kiasi gani cha kodi serikali inaweza kupoteza.

Serikali inataka mapato wakati huo huo inaua biashara inasahau Raisi Mstaafu Kikwete aliwahi sema,"Ukitaka kula lazima uliwe".
cheap idea....we don buy it....
 

Forum statistics

Threads 1,283,643
Members 493,763
Posts 30,795,347
Top