TANZIA: Uongozi wa Shirikisho la viwanda Tanzania(CTI), unatangaza kifo cha Mkurugenzi wao Mstaafu, Hussein Kamote

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
838
1,000
TANZIA: MKURUGENZI MSATAAFU WA CTI AFARIKI DUNIA
1587998870024.png

Uongozi wa Shirikisho la viwanda Tanzania (Confederation of Tanzania Industries (CTI) umetangaza kifo cha mkurugenzi wao mstaafu, Hussein Kamote aliyefariki Aprili 26, 2020

Kamote alistaafu CTI Mei 2015. CTI wamesema kuwa atakumbukwa kwa mchango wake wa kutaka Tanzania kuwa nchi yenye ushindani safi wa kibiashara

Alikuwa mshiriki maridadi katika kujadili masuala ya kibiashara kimataifa ili kuweka mazingira bora ya kibiashara nchini

Salam za rambirambi na pole zitumwe kwa familia ya Kamote kuwasilina na mtoto wa kiume wa Kamote, Kibaja Kamote.

=====


CONDOLENCES
CtiConfederation of Tanzania Industries

Dear Member,

The Governing Council and the Management of the Confederation of Tanzania Industries (CTI) wish to announce with great sadness the death of our former (Retired) Director of Policy and Advocacy Hussein Kamote who died on Sunday 26 April, 2020 in Dar es Salaam. Kamote retired from CTI in May 2015.

We will always remember him for his enormous contribution specifically during different advocacy campaigns towards making Tanzania a better and competitive place to do business. He was engaged in different national, regional and international negotiations aimed to create better and competitive business environment.

The burial arrangements are underway. We wish to extend our heartfelt condolences to the bereaved farnily members and close friends. We pray that God grant them consolation at this time of sorrow.

For those who wish to send their condolences rnay contact the late Hussein Kamote's son, Mr. Kibaja Kamote on Tel: 0653-192961 .

"May His Soul Rest Peace Amen"

CTI Secretariat
Kamote.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom