Tanzia: Team Diamond, Nevvo Msafi na Platnumzmond wafariki dunia

Hakuna watu wenye roho mbaya za kujificha kama walokole
Mimi binasfi sina roho mbaya,na kuhusu wokovu usiuseme kwa ujumla na ni mkataba/agano la Mungu na mtu.halafu ukipewa ukweli usiseme roho mbaya.

~Ulitaka tuseme walale pema peponii??haahaa haita wezekana mkuu "hazina ilipo ndipo na moyo utakapo kuwa"halafu hatuwezi kumpangia Mungu pa kuwaweka watu wake,maana hatuna mbingu.
 
Asante mkuu kwa kuelewa.ila aonavyo mtu nasfini mwake ndivyo alivyo.
Pengine hajakuelewa, tumpe mda wa kutafakari,coz wengi wanakufa kama wao lkn kwa vile hawajulikani hawatangazwi popote. Huenda hata mimi nikifa hakuna mwana jf ambaye atajua kuwa nimeded
 
Mimi binasfi sina roho mbaya,na kuhusu wokovu usiuseme kwa ujumla na ni mkataba/agano la Mungu na mtu.halafu ukipewa ukweli usiseme roho mbaya.

~Ulitaka tuseme walale pema peponii??haahaa haita wezekana mkuu "hazina ilipo ndipo na moyo utakapo kuwa"halafu hatuwezi kumpangia Mungu pa kuwaweka watu wake,maana hatuna mbingu.
Kwa jins ulivyoandika hata mtoto mdogo akisoma atajua tuu umeandika kwa nia mbaya..we wish eachother good luck,hata sku1 huwez msikia mtu anamuwish mwenzie kubaya,hata afe nan.sasa hii sjaiona kwako tuu,ni most ya watu wanaojifanya wameokoka ndo hua wako hvyo..na kaul zao zingne utakuta wakiona watu wana live their lives utawaskia ,.jiandalie maisha mbingun,achana na ya dunia,hyo kaul wanaitoaga kinafk sana,..au ile kaul ya "hilo dongo tuu ipo siku litaenda mavumbin"hapo wamemwona mdada kapendeza au mzur,..yaan walokole wengne ni watu wa ajab sana,aliekwambia Mungu ana mda na miner ishuz nan,Mungu ni mwema kwa watu wote ndomana hata jambaz akiomba msamaha anamsamehe bila kinyongo,ila milokole ndo ya kwanza ku hukum watu hapa dunian,..God has bigger stuffs to deal wit,..ungeifaham science ya dunia jins ilivyo,unge apreciate the power of God na kujua Mungu ni mkuu sana na ha deal na vitu vidogo dogo,na ndomana yuko kimyaa,watu wanalalamika kila siku na kulia makanisan ,anajua binadam anaweza tatua matatzo yake bila yeye,sasa kiila siku kumlilia.wenyew wanaona sifa..kuna bilions of stars,universe,planets,tena uskute kuna viumbe huko viing na sayar nying zeny viumbe,et akae apoteze mda na binadam,et amchome moto sjui nin,crap tuu kutishana watu watoe sadaka mchungaj aweke mfukon.PERIOD
 
Pengine hajakuelewa, tumpe mda wa kutafakari,coz wengi wanakufa kama wao lkn kwa vile hawajulikani hawatangazwi popote. Huenda hata mimi nikifa hakuna mwana jf ambaye atajua kuwa nimeded
Kwahyo unaonea wiv wenzio kujulikana,hahah.haya mkuu,fanya juhud ujulikane,nawee niwalewale wa team roho chafu.
 
Dogo mmoja apo dada ake nimesoma nae uko kijijini enzi izo Kileo mwanga kilimanjaro uyo dogo aliyepaka hina alikua chalii sana leo namuona uku mitandaoni daaa R.I.P
 
Back
Top Bottom