babayah67
JF-Expert Member
- Mar 28, 2008
- 493
- 79
Tangazo la Msiba.
Ninatangaza msiba wa Baba ya Rafiki yangu mpenzi aitwaye Sunghwa Fortunatus, uliotokea usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Segerea.
Mazishi yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 23/July/ 2011 hukohuko Segerea.
Habari ziwafikie Ndugu, Marafiki na jamaa wote na hasa wale wote waliomaliza UDSM mwaka 1994 Faculty of Science majoring Chemistry, Microbiology.
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa, jina lake Lihimidiwe, Ameen