Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,329 33,138 Dec 14, 2013 #1 TANGAZO LA MSIBA: Jumuiya ya Watanzania Roma pamoja na Jumuiya ya Watanzania Italia zinasikitisha kutangaza kifo cha Ndugu Abdulli Abuu(HATIBU CLEAN HEART) kilichotokea tarehe 08-12-2013 mjini Rome kwenye Casa di Cura (HOSPICE S. ANTONIO DA PADOVA) baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kutokana na msiba huu ambao sisi sote kama watanzania unatugusa, tunaombwa tujumuike kwa pamoja tuweze kuangalia mpango mzima wa msiba huu! Mjini Rome tumeamua kuwa na kikao siku ya Jumanne tarehe 17 Disemba saa kumi na moja kamili, maeneo ya Termini kwenye restaurant ya Wahindi iliyopo kwenye Mtaa wa Via Principe Amedeo. Na kwa wakazi wa NAPOLI na mkoa mzima wa CAMPANIA kutakuwa na mkutano siku ya jumamosi tarehe 14/12/2013 PENITAMARE kwa dada MARY kuanzia saa kumi Jioni. Tunaombwa tujumuike kwa wingi. Mwenyezi Mungu amlaze marehemu Abdulli Abuu mahali pema peponi amina. MAWASILIANO: ROMA: 3391597134 KATIBU NAPOLI: 389 8583370 KATIBU
TANGAZO LA MSIBA: Jumuiya ya Watanzania Roma pamoja na Jumuiya ya Watanzania Italia zinasikitisha kutangaza kifo cha Ndugu Abdulli Abuu(HATIBU CLEAN HEART) kilichotokea tarehe 08-12-2013 mjini Rome kwenye Casa di Cura (HOSPICE S. ANTONIO DA PADOVA) baada ya kuugua kwa muda mrefu. Kutokana na msiba huu ambao sisi sote kama watanzania unatugusa, tunaombwa tujumuike kwa pamoja tuweze kuangalia mpango mzima wa msiba huu! Mjini Rome tumeamua kuwa na kikao siku ya Jumanne tarehe 17 Disemba saa kumi na moja kamili, maeneo ya Termini kwenye restaurant ya Wahindi iliyopo kwenye Mtaa wa Via Principe Amedeo. Na kwa wakazi wa NAPOLI na mkoa mzima wa CAMPANIA kutakuwa na mkutano siku ya jumamosi tarehe 14/12/2013 PENITAMARE kwa dada MARY kuanzia saa kumi Jioni. Tunaombwa tujumuike kwa wingi. Mwenyezi Mungu amlaze marehemu Abdulli Abuu mahali pema peponi amina. MAWASILIANO: ROMA: 3391597134 KATIBU NAPOLI: 389 8583370 KATIBU
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,329 33,138 Dec 14, 2013 Thread starter #2 msiba wa hatib clean heart. uliotokea roma italy. Hivyo watu wa ilala pigo home boy katutangulia mbele ya safari Mungu amlaze pema peponi.
msiba wa hatib clean heart. uliotokea roma italy. Hivyo watu wa ilala pigo home boy katutangulia mbele ya safari Mungu amlaze pema peponi.
BHULULU JF-Expert Member Jun 28, 2012 4,989 2,013 Dec 14, 2013 #4 Poleni sana,pumzika kwa amani Hatibu
Baraka Roman JF-Expert Member Feb 16, 2013 692 262 Dec 14, 2013 #7 R.I.P brother Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mamndenyi JF-Expert Member Apr 11, 2011 40,607 52,333 Dec 14, 2013 #8 Poleni wote. Pumzika kwa amani rafiki.
LiverpoolFC JF-Expert Member Apr 12, 2011 11,348 3,219 Dec 14, 2013 #9 Mwenyezi MUNGU mwingi wa Rehema na awape Amani yake wote wale waliopatwa na msiba huu mzito. Na roho ya Marehemu ailaze mahala pema peponi. Amina!
Mwenyezi MUNGU mwingi wa Rehema na awape Amani yake wote wale waliopatwa na msiba huu mzito. Na roho ya Marehemu ailaze mahala pema peponi. Amina!
KOKUTONA JF-Expert Member Jan 29, 2011 8,649 6,088 Dec 14, 2013 #12 Poleni sana sana. Pumzika kwa amani rafiki.
Fadhili Paulo JF-Expert Member Sep 1, 2011 3,211 988 Dec 14, 2013 #14 Mwenyezi Mungu amrehemu na ampe pumziko la milele mahali pema peponi, Amina.
Mapi JF-Expert Member Mar 10, 2011 6,850 2,732 Dec 14, 2013 #19 apumzike kwa amani. Mungu mwenye Rehema atupe tuliobakia tafakuri njema ya fumbo hili.