Tanzia- tangazo la msiba

Tanzia- tangazo la msiba

msiba wa hatib clean heart. uliotokea roma italy. Hivyo watu wa ilala pigo home boy katutangulia mbele ya safari Mungu amlaze pema peponi.



Poleni wafiwa, mazishi ni wapi huenda nikawa karibu nikahudhuria na nikapata thawabu za kuzika
 
pumziko la milele umpe ee bwana na nwanga wa milele umwangazie ,Apumzike kwa amani,AMINA
 
apumzike anapostahili....poleni sana wafiwa mungu awape faraja katika wakati huu mgumu
 
...Pumziko la milele Uwape Ee Bwana na mwanga wa milele Uwangazie, Marehemu wote wapumzike kwa amani... Amina.

Ee Bwana Yesu, mpumzishe anapostahili Abdulli Abuu...
 
Back
Top Bottom