TANZIA: Sir. George Kahama afariki dunia

Pole wana familia Pole sana bro Joseph Kahama.Tuko pamoja katika kipinndi hiki kigumu.Raha ya milele umpe eeh Bwana...na mwanga wa milele umuangazie.Amina
 
Chuo kikuu cha Ushirika ana jengo limepewa Jina Lake .Lecture Hall ipo Karibu kabisa na Hostel aliyeyokua akiishi aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda au Daudi Albert Bashite.

Maelezo mengi ya kumtukuza makonda. May God rest his soul in eternal repose.
 
Mungu akurehem Sir Kahama
Kibinafsi Kama mtani wangu sir hon George kahama nitoe Pole Kwa familia ya mke Mkubwa na mke mdogo na Sophia simba aliyekuwa mwenyekiti WA UWT kwa wanawake wenzie ambao ni wanachama WA UWT kufiwa ambao walikuwa wanachama wazuri WA UWT kipindi cha uongozi wake. pole Sana Sophia simba
 
Dah hawa wazee ndo wanaisha hawa...golden generation...naamini hatutawapata kama hawa...milele
 
Chuo kikuu cha Ushirika ana jengo limepewa Jina Lake .Lecture Hall ipo Karibu kabisa na Hostel aliyeyokua akiishi aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda au Daudi Albert Bashite.

Haa haa haa hili jina bashite limekaa utamu kweli kutajwaa
 
Kibinafsi Kama mtani wangu sir hon George kahama nitoe Pole Kwa familia ya mke Mkubwa na mke mdogo na Sophia simba aliyekuwa mwenyekiti WA UWT kwa wanawake wenzie ambao ni wanachama WA UWT kufiwa ambao walikuwa wanachama wazuri WA UWT kipindi cha uongozi wake. pole Sana Sophia simba
Cc: Bi Sophia Simba
 
Rip mzee, sikuwah kuifaham hist yako. Ila nimesoma Na kajuukuu kako kalikuwa kanagawa ni balaa,
 
Back
Top Bottom