Hukumuzuku
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,690
- 5,040
At least hakuwa airlifted by private jet to St. Thomas Hospital in London for intensive medical treatment at taxpayers' expense.
Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais ameandika katika ukurasa wake wa Instagram..
NASIKITIKA kuwajulisha kuwa Dada wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Monica Joseph Magufuli amefariki dunia asubuhi leo tarehe 19 Agosti, 2018 katika hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu.
Natoa pole kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Familia ya Mzee Joseph Magufuli, Ndugu, Jamaa na wote walioguswa na msiba huu.
Raha ya milele umpe e Bwana na mwanga wa milele umuangazie, Marehemu Monica Jospeh Magufuli asterehe kwa amani, Amina..
Pia soma >Mwanza: Rais Magufuli amjulia hali dada yake Monica aliyelazwa hospitali ya Bugando - JamiiForums

Pia Msalimie Mawazo, Tuchekie pia Ben Sanane na Azori Gwanda kama tayari wapo huko,RIP mama.
mfikishie salaam zetu binti yetu mpendwa Aquiline.
huko nje kuna matibabu nzuri.rejea tundulisu..nilitaka nisikujibuKwa akili yako huko nje ndio hakuna makaburi kama ni hivyo basi sawa
Sent using Jamii Forums mobile app
Angempeleka mgelalamika for sure !
Acha umbea mkuu! Kutokuwajali kivipi??Umesema sahihi kabisa, nashangaa pole nyingi zinakwenda kwa John wakati marehemu alikuwa na familia yake na habari zilizozagaa ni kuwa John alikuwa hana mpango kabisa na alikuwa analalamikiwa kuwa tokea zamani ndio tabia yake ya kuto wajali ndugu zake
R.I.P, hii dunia ya ajabu, tundu lissu risasi 38 bila kufa, dada yetu malaria tu chali