TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake (Monica Magufuli) Hospitali ya Bugando

At least hakuwa airlifted by private jet to St. Thomas Hospital in London for intensive medical treatment at taxpayers' expense.
 
Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais ameandika katika ukurasa wake wa Instagram..

NASIKITIKA kuwajulisha kuwa Dada wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Monica Joseph Magufuli amefariki dunia asubuhi leo tarehe 19 Agosti, 2018 katika hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu.

Natoa pole kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Familia ya Mzee Joseph Magufuli, Ndugu, Jamaa na wote walioguswa na msiba huu.

Raha ya milele umpe e Bwana na mwanga wa milele umuangazie, Marehemu Monica Jospeh Magufuli asterehe kwa amani, Amina..

Pia soma >Mwanza: Rais Magufuli amjulia hali dada yake Monica aliyelazwa hospitali ya Bugando - JamiiForums

Dah...Pole sana Rais wangu...Pole sana Rais wetu...Pole sana comrade...
 
Gerson Msigwa, Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Rais ameandika katika ukurasa wake wa Instagram..

NASIKITIKA kuwajulisha kuwa Dada wa Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bi. Monica Joseph Magufuli amefariki dunia asubuhi leo tarehe 19 Agosti, 2018 katika hospitali ya Bugando Jijini Mwanza alikokuwa akipatiwa matibabu.

Natoa pole kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Familia ya Mzee Joseph Magufuli, Ndugu, Jamaa na wote walioguswa na msiba huu.

Raha ya milele umpe e Bwana na mwanga wa milele umuangazie, Marehemu Monica Jospeh Magufuli asterehe kwa amani, Amina..

Pia soma >Mwanza: Rais Magufuli amjulia hali dada yake Monica aliyelazwa hospitali ya Bugando - JamiiForums

POLE
 
OOOH!! POLENI WANA FAMILIA,,SHETANI NI MUUAJI TANGU MWAZO,,,AMEMUONDOA MAMA YETU MAPEMA LAKINI HAWEZI MSHINDA MUNGU MILELE YOTE...MUNGU AWAPE SUBIRA WANAFAMILIA WOTE NA PIA AKUPE NGUVU Mhe.RAIS UPATE NGUVU URUDI KUTUTUMIKIA,.AAMEN.
 
Poleni sana
Nikikumbuka Mkulu kwenda kumuona jana tu jamani nimelia

Ni vigumu kulilia nisiowajua ila ya dada ake.. imeniuma.

R.I.E.P Aunt wa Taifa
 
R.I.P, hii dunia ya ajabu, tundu lissu risasi 38 bila kufa, dada yetu malaria tu chali

Kuna mambo mengi yanazidi sana akili ya binadamu. Pamoja na kelele zoote sisi binadamu si kitu. We are mortals.... We are nothing! Uwe rais, uwe nani.........
 
Back
Top Bottom