Tanzia: Poleni wana CCM wa Tanga kwa kuondokewa na Mzee Makallo na Mzee Kigovya

Kikwajuni One

JF-Expert Member
Mar 18, 2013
9,599
2,000
Poleni sana wanachama,wapenzi,wakereketwa na wanafamilia kwa kuondokewa na na wanachama wawili na waliowahi kushika uongozi tofauti kimkoa na kitaifa ,wa chama cha mapinduzi,Mzee Makallo na Mzee Kigovya.

Mungu awaweke mahali pema peponi,kwa jitihada kubwa za kuendeleza jiji la Tanga na Taifa kwa jumla.
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
25,180
2,000
Poleni sana wanachama,wapenzi,wakereketwa na wanafamilia kwa kuondokewa na na wanachama wawili na waliowahi kushika uongozi tofauti kimkoa na kitaifa ,wa chama cha mapinduzi,Mzee Makallo na Mzee Kigovya.Mungu awaweke mahali pema peponi,kwa jitihada kubwa za kuendeleza jiji la Tanga na Taiga kwa jumla.
Misiba iko wapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom