Tanzia: Nimepata msiba

Tanzia: Nimepata msiba

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,855
Kwa wakazi wa Kigamboni nadhani mtakua mmesikia mwanafunzi aliiyejirusha leo toka kwenye panton. Mida ya saa 11 jioni mpaka sasa hivi hatujaona mwili wake. Alikua my best friend.

Usiku mwema wadau ila inauma
 
Pole sana mkuu pamoja na wote walioguswa na msiba huu. Jipe moyo mkuu, tunawaombea kwa Mungu Awape faraja yake katika kipindi hiki kigumu.
Kazi ya Mungu haina makosa.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe!
 
pole sana, inatuhusu sote na mie tuko wote pande za chuo! polee tena!
 
rest in peace uliyejirusha!!leo jukwaa limefikwa na misiba mingi,toka SUA, UDOM na sasa huyu wa ferry!!
 
Pole sana.

Sent from my GT-I9100 using Tapatalk 2
 
Maisha hayaji mara mbili kwa nini unabet? Nawaonea huruma ndugu aliowaacha.
 
pole sana mkuu!kila kilichoumbwa kwa nyama hakina budi ya kurudi mavumbini,MUNGU awatie nguvu wafiwa katika kipindi hiki kigumu
 
Nimesikitika sana mtu kujirusha kwenye pantoon!!! Kweli inasikitisha sana unaweza kukuta chanzo ni cha kipuuzi kabisa kama mapenzi, madeni au msongo wa mawazo ambao ungeweza kupata suluhu.

Pole sana kwa kufiwa na best yako dogo.
 
kwa wakazi wa Kigamboni nadhan mtakua mmesikia mwanafunzi aliiyejirusha leo toka kwenye panton. Mida ya saa 11 jioni mpaka sasa hivi.hatujaona mwili wake alikua my best friend. Usiku mwema wadau ila inauma

Unadhani nini chanzo cha kufikia hatma hiyo iwapo alikuwa ni wakaribu yako?
Otherwise, pole sana mkuu!
 
Kwetu cc huwa hatukubali kirahaisi,Lazma kuna Mkono wa Ntu.a.k.a KATUME.Cyo hivi hivi yaan mtu mbishane then apotee?Mwee!am jst saying nt serious wakuu,Al in al R.I.P Our beloved one.Kazi ya Allah haina makosa.
 
Someni mabandiko ya hapo juu....it was real stupid, dying while playing the super zero hero!
Poleni wakuu kwa msiba.....Mungu wa rehema amrehemu, apumzike kwa amani.

Nimesikitika sana mtu kujirusha kwenye pantoon!!! Kweli inasikitisha sana unaweza kukuta chanzo ni cha kipuuzi kabisa kama mapenzi, madeni au msongo wa mawazo ambao ungeweza kupata suluhu.

Pole sana kwa kufiwa na best yako dogo.

Unadhani nini chanzo cha kufikia hatma hiyo iwapo alikuwa ni wakaribu yako?
Otherwise, pole sana mkuu!
 
Pole sana ndugu na wote tulioguswa na jambo hili, hakika hali imekuwa ngumu na wengine kukata tamaa kwani mbele giza nyuma giza..... hata hivyo tunapaswa kusonga mbele kwa imani tukimtegemea muumba
 
Back
Top Bottom