TANZIA: Mzee Mangula apata pigo

TANZIA: Mzee Mangula apata pigo

She wa cute, kweli binadamu ni mavumbi na mavumbini tutarudi, Nadhani wakati wako mwanza nemela was young, mwl wetu nae wa nyanza shule ya msingi alishafariki (mke wa mangula), jamani! Pole sana mzee Mangula, Mungu akupe moyo wa uvumilivu ktk kipindi hiki kigumu


Kuna msiba wa binti wa philip Mangula uliyotokea usiku wa kuamkia leo. RIP Nemela.

Source: member of. Centre for Foreign Relations Kurasini Dar
 
Poleni sana kwa kutimiza mwaka baada ya kumpoteza mpendwa wenu...
 
RIP NEMELA

Kama tunatumia chombo cha moto au usiku ukishaingia, uishaaga au kuanza safari maliza ulichojia, usigeuke nenda kimoja usipende kurudi nyumma! Mwiko
 
magamba na vizazi vyao hawana haki ya kuishi tanganyika hii kwa mabaya waliyowatendea watanganyika ambayo kamwe hayatafutika mioyoni mwetu mpaka wote waangamie mpaka vizazi vyao...nasema wafe tu maana tumewachoka, tena wafe vifo vibaya sana..

sasa nemela anahusikaje, na ameshakufa, unataka afe amara ngapi?
 
Magamba na vizazi vyao hawana haki ya kuishi TANGANYIKA hii kwa mabaya waliyowatendea WATANGANYIKA ambayo kamwe hayatafutika mioyoni mwetu mpaka wote waangamie mpaka vizazi vyao...NASEMA WAFE TU maana tumewachoka, TENA WAFE VIFO VIBAYA SANA..

Umetusikitisha sana kwa Uzi huu.lakini haya ndugu
 
kuna msiba wa binti wa philip mangula uliyotokea usiku wa kuamkia leo. Rip nemela.

Source: Member of. Centre for foreign relations kurasini dar

poleni ndugu wafiwa.
 
Back
Top Bottom