TANZIA: Mzee Mangula apata pigo

TANZIA: Mzee Mangula apata pigo

Nimesikitika sana, sana, Nemela umeondoka ukiwa mdogo mno, mwanasheria uliyesomea UK, kama nchi tumekupoteza kijana msomi, kama familia wamepoteza zaidi sana, pole kwa marafiki wa Nemela! poleni sana.

mix with yours
 
Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu. Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama vile kivuli, wala hakai kamwe. AYUBU 14: 1 - 2



Mwenyenzi MUNGU mwingi wa rehema ampe pumziko la milele Nemela katika shamba lake Bwana.
 

RIP NEMELA


PICHA: NEMELA MANGULA (KUSHOTO) AKIWA NA WAZAZI WAKE, KATIKATI NI BABA YAKE AMBAYE PIA NI MAKAMU MWENYEKITI WA CCM TAIFA, MZEE PHILIP MANGULA.

Aiseee..... nimesikitika sana. Ni mdogo alafu ni mzuri sana.
 
May the Lord rest her soul in eternal peace.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
RIP Nemela. Nawapa pole wanafamilia na wote walioguswa na kifo cha Nemela. Mwenyezi Mungu aliyemfariji mkuu awafariji na kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu. Poleni sana.
 
sio nemala ni neema.. nilimtangulia darasa moja shule ya msingi nyakahoja mwanza

na mimi nilisoma nyakahoja na kumaliza 2000, nimeskitika sana. mungu amlaze mahali pema peponi.
 
yani... soo sad... we tutakua tumemaliza darasa moja coz na mi ndo mwaka wangu huo.. najaribu kuhisi utakua nan wewe.. are u a he or she
 
Its so sad Neema,we loved U dear sister,Pole sana Mangula,Huyu binti alikua mnyenyekevu,hakika mauti wakati mwingine unatuumiza sana !Neema umetuumiza wengi!aaaaah may the Name of the Lord be praised for this also.
 
Back
Top Bottom