Candy kisses
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 297
- 211
Msiba wa Nemela umetushtua wengi she was a leader alikua rais wa wanafunzi na kiongozsi wa darasa na alikua social na kila mtu...hatusifii kwasababu ameondoka ila ni kwasababu she was a charismatic young lady alijitambua sana na alijua alichokitaka,she was focused! Rest in Peace Diplomat wetu Nemela