Kuna msiba wa binti wa philip Mangula uliyotokea usiku wa kuamkia leo. RIP Nemela.
Source: member of. Centre for Foreign Relations Kurasini Dar
Source: member of. Centre for Foreign Relations Kurasini Dar
Poleni sana wafiwa, nimesikia redioni mtu akielezea, walicheza nae mzuki cku ya sendoff ya wifi yake, nguo yake ikachanika bahati mbaya akaanga anakwenda badili nguo atarudi, ndio njiani akapata ajali
Mungu amrehemu
habari zilizopo ni kuwa Mzee Philip Mangula,M/kiti msaidizi wa CCM Tz Bara amefiwa na mwanae wa kike ajulikanaye kwa jina la Nemela Mangula.
Kifo cha binti huyo kimetokana na ajali ya gari aliyoipata wakati akivuka barabara kuhudhuria tukio la Send off... Nemela ni binti mdogo wa Mangula,amepoteza maisha akiwa bado ni mdogo sana kiumri,msiba upo maeneo ya O'bay karibu na Maeneo ya Diplomatic Shop.
Mungu ailaze roho ya Marehemu mahali pema Peponi