TANZIA: Mwanachama mwenzetu National Anthem amefiwa na mapacha wake

So sad,mwaka2011 mwezi Machi sitosahau,nilijaliwa mapacha wote wa kiume nilifurahi Sana baada ya wiki tatu sikulala usiku mmoja watoto walisumbua kwa kulia asubuhi nikawaaisha hispitali baada ya siku mbili akaanza kulwa kufaliki baadae doto,na wakati huo Niko mbali na nyumbani mkoa tofauti niliteseka Sana kimawazo.Pole Sana kaka najua Ni ngumu kupokea.
 
Siku chache zilizopita Intelligent businessman alianzisha Uzi wa kumpongeza National Anthem kwa kupata watoto mapacha katika uzao wake wa kwanza Pongezi mwanaJF "National Anthem, kwa kupata watoto mapacha

Kwa bahati mbaya, taarifa zilizonifikia mida hii ni kwamba hao watoto hatunao tena.

Natoa pole kwa National Anthem pamoja na familia yake kwa ujumla. Tukiwa kama wanachama wenzake, tutumie comment box au PM kumfariji na kumpa pole.
R.I.P Kwa mapacha wa National anthem
 
Back
Top Bottom