Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 268,252
- 1,095,574
- Thread starter
- #21
Sasa je usinambie enzi hizo ulikua unamfahamu mwinyi pekee kisa unamsikia kwenye redio kua ni rais.
kwamba hata sisi watoto wa shamba tulikuwa tunawajua? Acha utani mdogo wangu
Sent using Jamii Forums mobile app