Tanzia: Muigizaji wa filamu'Mama Abdul' afariki dunia

Aaah jaman ina maana mujini ulikuja mwaka gani mamie. Nilianza waangalia kwa jirani na ugenini kila nikienda sehemu ugenini kuna video raha mustarehe.

Haya marehemu kaigiza pia toleo la juzi juzi la bongo movie inaitwa KANTANGAZE
Bahati mbaya ndugu zangu waliokuwa mjini wao pia hawakuwa na kideo yaani tabu kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
انا لله وانا اليه راجعوان.
Sisi ni wa Allah na hakika kwake tutarejea

"ᵀʰᵉ ᵒⁿˡʸ ˢᵒᵘʳᶜᵉ ᵒᶠ ᵏⁿᵒʷˡᵉᵈᵍᵉ ⁱˢ ᵉˣᵖᵉʳⁱᵉⁿᶜᵉ"
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom