Tanzia: Muigizaji wa filamu'Mama Abdul' afariki dunia

nyangusa

Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
46
Points
95

nyangusa

Member
Joined Dec 4, 2017
46 95
Kuna watu wamezaliwa miaka ya 2000 na kitu hawawezi kumjua uyo mama pia kunawemngine kipindi hicho walikua vjijini pasipokua na umeme hawakuweza kutazama mf; mie nilikua nasoma darasa la 5 wilaya ya tarime shule ya msingi Omuga, vijijini kabisa kipindi hicho sasa hv ni wilaya ya Rorya. ukiniambia maigizo ya RTD ya akina Onyango nitakuelewa japokua hao wa redioni wakifa hatuambiwi japokua walituelimisha tukiwa washamba kipindi hicho ndugu yako akitoka Dar majirani wanajua mnahela, ukimuona amekaa mahala hutaki kutoka hasa akiwa anapiga stori za Dar watu wanamsikiliza kila mtu anatamani arudi nae Dar, kipindi hicho anaongea baadhi ya watu wameishamuomba nguo alizovaa ili siku akiwa anarudi bongo awaachie, du! Watu tunatoka mbali siku nilipofika Dar ndipo nilijua kwamba, Dar watu waangaika kuliko mikoa mingine Tanzania hii, uuwii nimesahau hii THREAD ni ya msiba, Bwana alitwaa na Bwana ametua jina lake lihimidiwe.
 

nyangusa

Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
46
Points
95

nyangusa

Member
Joined Dec 4, 2017
46 95
Kuna watu wamezaliwa miaka ya 2000 na kitu hawawezi kumjua uyo mama pia kuna wengine kipindi hicho walikua vjijini pasipokua na umeme hawakuweza kutazama mf; mie nilikua nasoma darasa la 5 wilaya ya tarime shule ya msingi Omuga, vijijini kabisa kipindi hicho sasa hv ni wilaya ya Rorya. ukiniambia maigizo ya RTD ya akina Onyango nitakuelewa japokua hao wa redioni wakifa hatuambiwi japokua walituelimisha tukiwa washamba kipindi hicho ndugu yako akitoka Dar majirani wanajua mnahela, ukimuona amekaa mahala hutaki kutoka hasa akiwa anapiga stori za Dar watu wanamsikiliza kila mtu anatamani arudi nae Dar, kipindi hicho anaongea baadhi ya watu wameishamuomba nguo alizovaa ili siku akiwa anarudi bongo awaachie, du! Watu tunatoka mbali siku nilipofika Dar ndipo nilijua kwamba, Dar watu waangaika kuliko mikoa mingine Tanzania hii, uuwii nimesahau hii THREAD ni ya msiba, Bwana alitwaa na Bwana ametua jina lake lihimidiwe.
 

airwing

Senior Member
Joined
Dec 8, 2017
Messages
137
Points
250

airwing

Senior Member
Joined Dec 8, 2017
137 250
Dah RIP.

Namkumbuka kama Mama Badul kwenye maigizo ITV.

Realest actor.

Na ujinga wote wa Bongo Muvi nilivyomuona kwenye kasha la Kigodoro ikabidi niiangalie.

Alifanya vizuri sana akiwa kama mke wa Baharia.
Mama kibakuli, Mke wa mzee mwny maneno kuntu muogo mchungu, Kitambo sana kati ya 2001-2004.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
3,332
Points
2,000

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
3,332 2,000
Mkuu mama kibakuli sio huyu mkuu,huyu hakuwahi igiza na muhogo mchungu enzi hizo bali alikua kundi la akina bishanga bashaija,joti,mpoki,seki,waridi

Wewe ndio humfahamu kwabisa huyu ameigiza na akina muhogo mchungu move nying nyingi tuu Bishanga hakuwa igiza naye yeye
Bishanga
Richie
Waridi
Teckla

Huyu mama Abdul hawakuwahi kuigiza. ingawa pia nadhani baba Abdul alifariki last year.. mzee mmoja alikuwa akiongea kwa mapozi na busara nyingi sana
 

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
145,638
Points
2,000

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
145,638 2,000
Mkuu siongelei bongo movie hii ya sasa. Huyu mama alikua anaigiza kundi la mambo hayo wakati muhogo mchungu alikua anaigiza kaole grup. Yeah anaweza kuwa hakuwahi igiza na akina bishanga ila alikua kundi hilo hilo toleo la mbelen ambapo waliongezeka akina joti,seki,mpoki,abdul na wengineo

Baba abdul wa enzi hizo sidhan kama alikua anaongea kwa busara alikua sharo mzee hivi mishen town wa ukweli

Mama kibakuli ni mwingine japo sifahamu siku hizi anaigiza bongo movie kwa jina lipi.

Aliyefariki mwaka jana anaitwa mashaka wa kaole kwa akina muhogo mchungu,dr cheni,kisa,zawadi ,bupe,nina etc
Wewe ndio humfahamu kwabisa huyu ameigiza na akina muhogo mchungu move nying nyingi tuu Bishanga hakuwa igiza naye yeye
Bishanga
Richie
Waridi
Teckla

Huyu mama Abdul hawakuwahi kuigiza. ingawa pia nadhani baba Abdul alifariki last year.. mzee mmoja alikuwa akiongea kwa mapozi na busara nyingi sana

Do some research madeko na pia pitia comments utaona mama abdul alikua anaigiza sana tu
 

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
3,332
Points
2,000

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
3,332 2,000
Hellow miss madeko,mwaka mpya ni shwari. Heri ya mwaka mpya pia.

Isidingo mambo magumu bado channel hazijarudishwa DSTV

Salama kabisa Numbisa.. Heei na wewe ya mwaka mpya,
Asante kwa kunijibu, kwelisasa hivi Isidingo ni kitendawili mimi nimebaki na Selina, Maza na Mwantum mcharuko ambaye ane aliaga dunia juzi ijumaa nasikia kazikwa leo
 

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Messages
145,638
Points
2,000

Numbisa

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2016
145,638 2,000
Mie nimezama kwenye vikorea hizo mwantumu na nyinginezo zimenipitia mbali kabisa,kila nikijaribu kuzifatilia najikuta nasahau muda wake
Salama kabisa Numbisa.. Heei na wewe ya mwaka mpya,
Asante kwa kunijibu, kwelisasa hivi Isidingo ni kitendawili mimi nimebaki na Selina, Maza na Mwantum mcharuko ambaye ane aliaga dunia juzi ijumaa nasikia kazikwa leo
 

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Messages
3,332
Points
2,000

Miss Madeko

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2014
3,332 2,000
Mie nimezama kwenye vikorea hizo mwantumu na nyinginezo zimenipitia mbali kabisa,kila nikijaribu kuzifatilia najikuta nasahau muda wake

Ha ha ha muda pia sio rafiki, pia ni saa 1:30 na usiku saa tano. Vikorea nadhani bado sijavijulia zaidi ni ile Telemundo basi nayo nimepoteza muda wake kikubwa nimebaki na Selina but Isidingo was the best aisee
 

Forum statistics

Threads 1,344,403
Members 515,456
Posts 32,819,601
Top