Tanzia: Muigizaji wa filamu'Mama Abdul' afariki dunia

financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
3,050
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
3,050 2,000
Unaweza kunihamasisha niwe naangalia bongo movie?
Naaminii kuna Bongo movies ambazo ni nzuri tu, mfano hiyo japo siikumbuki jina ila Huyo hayati Mama Abdul na Mhogo mchungu, waliigiza poa yaani,. so uwe unaangalia and just hope hutojutia kwa baadhi ya movies zilivyo nzuri.
 
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
60,362
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
60,362 2,000
Naaminii kuna Bongo movies ambazo ni nzuri tu, mfano hiyo japo siikumbuki jina ila Huyo hayati Mama Abdul na Mhogo mchungu, waliigiza poa yaani,. so uwe unaangalia and just hope hutojutia kwa baadhi ya movies zilivyo nzuri.
Bado hujanishawishi vizuri...
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,257
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,257 2,000
Bado hujanishawishi vizuri...
kuangalia bongo movies bora ukalale tu..ila mm nampenda riyama na huyu marehem..sema sijawah shawishika nunua kazi zao bado..nawaangalia na kuwakuta nikiwa safarini..na yule shogake zama aliyeekt chausik.napenda uigizaj wake...!mie nikikaa na wanawake wenzangu huwa napataga ugumu sana...yaan mamichezo yoote ya kwenye tv yako kichwan๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…...arghh
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
3,050
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
3,050 2,000
Bado hujanishawishi vizuri...
hahaa, Babu bana hujataka tu kushawishika, ngoja nikuitie mjukuu wako manengelo anisaidie kukushawishi kama ni mdau wa hizo movies.:p
 
Mpini Wa Chuma

Mpini Wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Messages
1,659
Points
2,000
Mpini Wa Chuma

Mpini Wa Chuma

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2016
1,659 2,000
Hivi huyu ndie anaeigiza ile mwantum
 
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2018
Messages
19,257
Points
2,000
manengelo

manengelo

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2018
19,257 2,000
hahaa, Babu bana hujataka tu kushawishika, ngoja nikuitie mjukuu wako manengelo anisaidie kukushawishi kama ni mdau wa hizo movies.:p
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…..shoga mm ndo majanga...yaan vitu navyoangalia utadhan mwanaume vile๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…..magazeti ss nayosoma๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…...!nashindwa kbs kuangalia movie yyt..ila za nigeria nampenda mr ibu..ukiniambia humu ndan kuna mr ibu kwanza naanza kucheka..otherwise hapana...mie naishi km mbibi tu...!
 
okiwira

okiwira

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2018
Messages
1,021
Points
2,000
okiwira

okiwira

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2018
1,021 2,000
Binafsi nilimuona kwa Mara ya kwanza ana kwa ana na DOGO LANGU JAKAYA COMEDIAN yupo peace R. I. P
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
8,370
Points
2,000
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
8,370 2,000
Naaminii kuna Bongo movies ambazo ni nzuri tu, mfano hiyo japo siikumbuki jina ila Huyo hayati Mama Abdul na Mhogo mchungu, waliigiza poa yaani,. so uwe unaangalia and just hope hutojutia kwa baadhi ya movies zilivyo nzuri.
Daah Bongo movie?? Hapana kwakweli
 
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2018
Messages
8,370
Points
2,000
Ndumbula Ndema

Ndumbula Ndema

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2018
8,370 2,000

Forum statistics

Threads 1,336,276
Members 512,585
Posts 32,533,232
Top