TANZIA: Mufti Issa Shaaban Bin Simba afariki Dunia

Ukimya wake na utaratibu wa kusuruhisha mambo ilikuwa ni nguzo kwa waislamu na wapenda amani. Bila shaka Mungu atawainulia kiongozi mwingine wa aina yake.
 
Mfumo wa uongozi wa kikristo au wkristo ni tofauti na wa waislam, wakristo wana mfumo ambao uko wazi,waislam hawana, kila mtu ni mkuu, kila shehe mwenye msikiti wake ni mkuu, kwautaratibu huo kutakua hakuna msemaji rasmi wa waislam, kila mtu ni msemaji.

Ikaundwa bakwata kama msemaji rasmi wa waislam Tanzania. Kwa hiyo wastaarabu tunamtambua mufti kama mkuu wa waislam wote Tanzania,yeye ndie anawawakilisha mawazo au maoni ya waislam wote

Nawashangaa hao wanaopinga kama hawatak wapite hivi.....................
 
Allah ampumzishe mahala pema. Tulitoka kwa udongo tutarejea kwa udongo.
Tunawaomba Watangazania wa chichiemu wakae mbali na msiba huu (wasilete siasa zao mufilisi) ili tumsindikize mzee wetu kwa amani na utulivu na wapendwa wake waomboleze kwa amani.
 
Natoa pole kwa familia ya marehemu, ndugu na jamaa kwa msiba huu mzito. Ninawaombea faraja Waislamu wote kwa kuondokewa na kiongozi huyu mkuu. Mungu ailae pema roho yake Amina.
 
Dah poleni wanabakwata kwa msiba uliowakuta sisi wengine ambao hatuhusiani
na Bakwata tunawaombeni muwe na subira kipindi hiki kigumu.
 
Pole kwa waislam wote, nilikuwa namkubali sana huyu mzee alikuwa mpole na mnyenyekevu mwenye busara na hekima!!.
 
Poleni wafiwa , familia kwa msiba huu. Pia tunawapa pole wanachama wa BAkwata kwa msiba huu. Tumaini yetu baada ya msiba Bakwata itakaa na kuwa huru katika kuchagua mufti wa bakwata ambaye ataleta mapinduzi mapya ya uongozi katika tasisi hii muhimu isiyo tambuliwa na walengwa kwani imekua ni mwiba wa maendeleo ya waislam na inafanya kazi kama adui ya waislam .
Ni matumaini yetu ataechaguliwa atakuwa mtu mwenye elimu zote na mtaalam wa uongozi ambaye atafanya mabadiliko ya katiba ya bakwata ili iwe ni taasisi ya kitaifa na isionekane kuwa ni kikundi cha watu wasio na mwelekeo
 
Poleni watanzania wote, taifa limepoteza mtu muhimu sana. Mwenye upendo, mkalimu na aliyependa amani.

Rip Mufti Simba.

Innalha wainallah wallajun
 
Dah poleni wanabakwata kwa msiba uliowakuta sisi wengine ambao hatuhusiani
na Bakwata tunawaombeni muwe na subira kipindi hiki kigumu.

hivi kwanini hamumtambui Mufti kiongozi wenu wa Iman
 
Poleni waislam wote,tumuombe mwenyezi MUNGU aipokee roho yake na apumzike kwa amani!
 
Back
Top Bottom