Muda mfupi uliopita nimepata taarifa kuwa Kiongozi Mkuu wa Waislamu nchini Tanzania Mufti Issa Bin Shaaban Simba amefariki dunia.
Hakika ni majonzi na pigo kubwa kwa Waislam na watanzania kwa ujumla. Amezaliwa Shaaban na ameondoka ndani ya mwezi wa Shaaban,Innalilah wainailah Rajiun.
Mwenyezi mungu ampe kauli thabiti na amjaalie pepo ya kheri na kumsamehe madhambi yake.
The Grand Muft of Tanzania has passed away.

R.I.P mufti wetu Simba.TANZIA: Sheikh Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa bin Shaaban Simba afariki dunia leo Hospitali ya TMJ jijini Dar es Salaam, BAKWATA yathibitisha.
Duuu,kama ni kweli tunamuombea apumzishwe mahala Pena peponi,ameeen
Hakuna maombi baada ya kifo.