nataka kujua wametumia kigezo gani kumzika alhamis naanza kukosa iman wanatuelimisha hivi wao wanafanyavile
Tupe C V ya mamako kwanza ! Tunajua umesomeshwa na pesa za wanzuki na dengerua. Red Giant
Hahahaaa, huu ndio mfano bora wa mafundisho ya mtume, kua aggressive hata kwa jambo dogo, kujibu kwa jabza kwa jambo dogo na kutokufikiri kabisa na ukishindwa jilipue ufe. Hapa nadhani unatamani kujifu bomu ufe na huyo jamaa alieomba cv.
Ya Waislaam ni ya walimwengu woote! moshdar
Ukimya wake na utaratibu wa kusuruhisha mambo ilikuwa ni nguzo kwa waislamu na wapenda amani. Bila shaka Mungu atawainulia kiongozi mwingine wa aina yake.
ni ngumu sana kukuelewesha Ally kwa sababu wewe unaongea ukiwa ndani ya box. upo ndani ya pembe nne za box la kidini, huoni nje ambapo kuna mabox mengine mengi sana na kila box lina nafasi na opportunities kibao.Unashangaa nini? wakati miaka ya 1970 BAKWATA ilikuwa inamiliki over 70 fleet of Fiat 682 na tela zake, Kiwanja cha kujenga chuo Kikuu pale Kibasila na nyumba na maghorofa kadhaa Kitumbini.
Leo ni sifuri. moshdar
astaghafirulah, hakula kiti moto kweli huyo??!! manake kitimoto kwa mkiristo ni ibada.Na yeye kukaa Guest ya Mkiristo mshenzi si hoja, ilimradi alilipa na kulala chumba chake. Tiba
System ya wapi inamuandaa Alhadi kuwa muft, acha umbea!!
Unashangaa nini? wakati miaka ya 1970 BAKWATA ilikuwa inamiliki over 70 fleet of Fiat 682 na tela zake, Kiwanja cha kujenga chuo Kikuu pale Kibasila na nyumba na maghorofa kadhaa Kitumbini.
Leo ni sifuri. moshdar
naunga mkono hoja. mzee anafaa...Alhadi Mussa Salum ndiye mufti ajaye tutapigania hili mpaka mwisho
Ni kweli uyasemayo mratibu wangu mstaafu, Mzee Simba ni mfano wa kuigwa na wapenda amani wote.
Mungu amweke panapostahili.
Napenda kutumia fursa hii kutuma rambi rambi kwa waislamu wote na member Wenzetu Wa hapa JF wakiwamo;
sakni faby Ritz Bill Cosby FaizaFoxy Mohamed Said kahtaan Nonda Punjab Singh Ally Kombo Nonda kui Gavana wabara et al
Allah awape Faraja ktk wakati huu mgumu....
Nimemsikia kupitia Radio DW Sheikh mkuu wa Dar akisema mazishi ya Mufti yatafanyima Shinyanga siku ya Alhamisi. HILI limenistua mno na naomba wasomi wa kiislamu waje watusaidie kuwa hili ni katika itikadi ya kiislamu au la. Kiongozi wa dini kufariki asubuhi ya leo na kuzikwa Alhamisi tena Shinyanga.
Kipi kimezuia asizikwe leo au hata kesho asubuhi?
Sio kiongozi mkuu wa waislam ni kiongozi mkuu wa bakwata
Masahihisho mleta uzi,waislamu kiongozi chetu ni kitabu msahafu(kuran) sio binadam,kwa kuwa binadam ana mwisho,