kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,461
Nita miss sauti mzito mbiu ya mnyonge
Kweli mwingine alikuwa Issack Muyenjwa Nyagabona Gamba aliyefariki mwishoni mwa mwaka jana ambaye naye alikuwa anahudumu DW.Kwani uko DW kuna nini maana uyu ni wa pili kutoka tanzania ndani ya mwaka huu.
Isaac Muyenjwa Gamba anatokea pande zipi za "ukanda wa pwani" mkuu?DW kuna shida, tatizo wote wa ukanda wa pwani,lazima watakuwa wanapigana vipande
Naomba Silvia Mwehozi arudi nyumbani haraka. Naona vifo vimewaandama
Magonjwa mtambuka!Wanayazoa Africa wanaenda kuishi nayo Ulaya!Kweli mwingine alikuwa Issack Muyenjwa Nyagabona Gamba aliyefariki mwishoni mwa mwaka jana ambaye naye alikuwa anahudumu DW.
Marehemu Issack Gamba alikuwa mwenyeji wa MusomaIsaac Muyenjwa Gamba anatokea pande zipi za "ukanda wa pwani" mkuu?
Kuna mwingine anaitwa Mohamedi khalifKwani yule mohamed ambae kwa sasa ameshastaafu alikuwa na sauti nzito nzito fulani nae ni mwingine tofauti na huyu au ni wawili tofauti
Mkuu unapoingia Ulaya kabla ya kuanza kufanya kazi unafanyiwa uchunguzi wa kina wa kiafya usije kuingia na "EBOLA" nchi za watu.Magonjwa mtambuka!Wanayazoa Africa wanaenda kuishi nayo Ulaya!