Tanzia: Mtangazaji wa DW, Mohammed Dahman afariki dunia

Mwanadamu aliyezaliwa na Mwanamke siku zake za kuishi ni chache na zimejaa tabu nyingi.

R.I.P.
 
DW kuna shida, tatizo wote wa ukanda wa pwani,lazima watakuwa wanapigana vipande
 
RIP nakumbuka ile sauti yake yenye huruma ndani yake ikisema " Taifa hilo maskini linalopakana na bahari ya hindi, limekuwa chini ya chama kimoja kwa miongo kadhaa tokea Uhuru kutoka kwa bwana wao mwingereza".
 
Back
Top Bottom