TANZIA: Msanii wa muziki wa Dansi, Banza Stone (Ramadhani Masanja) afariki Dunia

Fungus ya kichwa ndio ugojwa gani hasa. Chanzo chake?? Kwa wanao uelewa naomba kufahamishwa.
 
Nilipata wasiwasi niliposikia wimbo wake kwenye kipindi cha mchana ndani ya EA Radio nikapata wasiwasi! Ni kweli hatunaye tena.

Mwenyezi ampe nafasi kwenye Ufalme wake!
 
Ina Lillah Wainna Ilaih Rajiun, hakika sie wote ni waja na kwake Allah tutarejea.
Kila nafsi itaonja umauti,heri yako wewe Banza umekufa siku tukufu ya L Jumaa.. Mwenye-Enzi Mungu ailaze pahala pema roho yako..Amiin!
 
R.I.P Banza Stone, "Mtu Pesa" ni wimbo bora wa wakati wote wa bendi za mziki wa dansi kwangu mimi.
 
Pumzika Kwa Aman Ramadhan Masanja/ Banza Stone, Tutakukumbuka kwa Sauti Na Tungo Zako Nzuri Kama Mtaji Wa Masikini, Unapotaka Kuanza Maisha Anza Sasa Nk
 
Naukumbuka wimbo wake wa HUJAFA HUJASIFIWA,huu ni wakati sasa wa kusikia sifa za Banza Stone.Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi.Amina
 
Back
Top Bottom