TANZIA: Msanii wa muziki wa Dansi, Banza Stone (Ramadhani Masanja) afariki Dunia

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Banza Stone Ramadhani Masanja amefariki
 
Elimu ya mjinga ni majungu.....na kibwagizo cha kwenye starehe kijiko kimefikaje,eti nyumba ya shetani mwendawazimu kaingiajeeeeee
RIP Banza
 
R.I.P Banza Stone...

1437132331936.jpg
 
banza kashakuwa kama mzimu,anakufa anafufuka....wengine humu wameshatoa RIP zaidi ya tatu
 
Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Banza Stone amefariki dunia leo hii Ijumaa. Ramadhani Masanja amefikwa na umauti kutokana na kuandamwa muda mrefu na magonjwa.
Ya kweli hii kitu?
 
Mwanamziki nguli wa mziki wa dansi Banza stone afariki dunia source EA TV
 
Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kwamba mwanamuziki nguli wa miondoko ya dansi, Banza stone amefariki dunia mchana huu.

Mungu amlaze mahali pema peponi. Amina.
 
Back
Top Bottom