Tanzia: Msanii wa kundi la Jagwa Music Jack Simela afariki

Utashangaa TBC inakuwekea festivals za walami watupu au wachina tu wakati kuna watanzania wanaperform ile mbaya.
Kwa maini yangu Diamond ameweza kuteka kimataifa baada ya kutumia vionjo vya mnanda.
Diamomd kateka kimataifa ipi hiyo mkuu?

Hakuna Msanii wa Tanzania aliyeteka kimataifa.
Sasa Nigeria Kenya uganda na SA ndo kimataifa???

Ukisema kimataifa tunaongelea mbele yani UGHAIBUNI vile.
Tuacheni kujipa moyo kwa vitu sio uhalisia
 
Aisee mziki wa hisia sana huu, kwa sie wakazi wa Temeke hii ni burudani yetu maridhawa kabisa, ukiikuta live acha kabisa,
Mola amrehemu
Mm pia mshabiki wa huu mziki, nilikuwa namuhusudu sana huyu jamaa anavyoimba japo nilikuwa sijui jina lake ....upumzike kwa amani kaka
 
Jagwa bila jack ni kama chai bila sukari ase hii ni pigo sana kwa Jagwa wanaweza kuendelea lakini bila jack ladha imepotea maana huyu ndio alikuwa star na anaibeba sana jagwa na kama muimbaji mkuu..Hata ukitembelea page fb utaona wazungu wanamuongelea sana huyu wanamuita jackie

Jagwa itakuwa sio ile tena sabb jackie alikuwa anautofauti sana na waimbaji wengine wa fani hii
 
Jagwa ilikuwa na waimbaji wangapi?
 
Nalitambua hilo swala mkuu ndo mana nikajua kama kuna mrithi wake ?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…