TANZIA: Mmiliki wa NAF Hotel Mtwara afariki dunia

Ngoja tuje tuambiwe jinsi Magufuli anavyosababisha vifo vya wawekezaji.......
 
Binafsi hii hotel nilishafika pale mara mbili. Kuna Band huwa inapiga live pale inaitwa NAF BAND. Kwa maelezo ya mtoa mada huyo aliyefariki hawezi kuwa mmiliki wa hiyo hoteli. NAF BAND wakiwa wanapiga mwanzo mwisho wanamsifia aliyekuwa mbunge wa mtama. Ndipo nilipouliza kumbe ndio mmiliki wa NAF HOTEL
Swadaktaaaa! Hapo pigia mstari!
 
Siasa kwenye kila kitu! Taarifa ya msiba alafu inapigwa na polish ya "masimango" ya kisiasa kwa mbaaali ....Ama kweli uchawi una maana pana sana ..
Umeona Mkuu..yaani hata mahali alikofarikia kadanganya..marehemu amefariki akiwa mjini Lindi na sio India na hapo ndio tunapoanza kuona huyu jamaa kaongeza chumvi kwenye taarifa yake na kuifanya iwe na chembe chembe za kisiasa.
 
Mmiliki wa Hoteli ya Kifahari mjini Mtwara (NAF) Ndg. Shebby amefariki dunia usiku wa kuamkia leo huko India alikoenda kutibiwa kutokana na maradhi ya moyo. Walio kuwa karibu na Ndg. Shebby wanadai kwamba siku za hapa karibuni.

Bwana Shebby alikuwa na msongo wa mawazo akilalamika madeni kuongezeka kutokana na kukosa wateja katika biashara yake ya hoteli.

Hoteli nyingi Mtwara zilitegemea sana wageni katika makampuni ya gesi ambao tangu mwaka jana wameondoka nchini na kuridi makwao.

Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi.

Amina..
We Bawacha hivi Lindi ndio India?
 
Swadaktaaaa! Hapo pigia mstari!
Kwahiyo papa msoffe ni mmiliki wa ngwasuma kwavile wanamuimba sana? Hiyo hotel ni ya membe nishafanya kazi. Mwaka 2008 NA tuliifungua sie.... hapo
1480763493001.jpg
rip shebby
 
Back
Top Bottom