Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
maeneo nayapata sana hayo,hahahaha mi maeneo ya kujidai ukinyoisha na ile barabara kama unaenda "Chuno" maeneo ya kwa lipwelele kule(ngoja nisitaje nyumba wala au jina la mshua maana jamaa wa sentero wanatutafuta kwa udi na uvumba,wameanza na max mello) sasa hivi ukienda mtwara kumekucha hasa hasa unaweza kuzunguka mji wote usikanyage udongo full lami.Hahha mimi nilikua nakaa karibia na shamba la mkuu wa mkuu kwenye zile nyumba 5 zilizokua kwenye fensi,pembeni kuna transfoma nasikia dr shomari kajenga pale,nilihama MT mwaka 2002.Kipindi hiko shebby ndo kaamia kwenye nyumba yake alojenga chapchap,kipindi hicho matajiri walikua akina champion,shabani,paulo yule aliyeoa mtoto wa mzungu.
Nakumbuka velani sana.nakumbuka pweza na ngis nilikua napika mwenyewe.
Kwa Limo Motel,Litingi.daaaah i miss mtwara asee
We ulikua unakaa wap mkuu?