TANZIA: Mmiliki wa mabasi ya Ngorika, Stephen Mberesero afariki dunia

1456856550812.jpg
kumbe wachawi wanakufaga poleni wapare kwa kufiwa n.a. kibosile wenuuu
sio mpare huyu ndugu...... anaitwa steven temba.. wacha kukariri
 
Pia ni mmiliki wa Vituo vyote vya mafuta vya TOTAL kanda hii ya kaskazini
Usihofu mleta mada, picha ya namba ya gari tumeshaiwasilisha

Mana dereva aligeuza gari kuona amegonga, alipofika eneo la tukio akakuta jamaa kafariki
hivyo akawasha gari akakimbia, kumbe watu washapiga picha namba za gari yake

naomba kusahihisha ni dealer wa vituo vyote vya mafuta kilimanjaro na sio mmiliki
 
Apumzike Salama alipojichagulia kipindi cha uhai wake. Poleni wafiwa,Mungu awe Faraja kwenu
 
Back
Top Bottom