TANZIA TANZIA: Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Katoliki Ruaha (RUCU), Prof. Fulgens Linus Mbunda afariki dunia

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Prof. Mbunda amefariki leo baada ya kuugua ghafla na kukimbizwa Hospitali

Adjustments.JPG
 
Napendekeza kuanzia sasa kwenda mbele kuwepo na jukwaa la matangazo ya vifo.

Kila utokeapo msiba, hata kama ni wa kijijini kwenu au wa jirani yako, taarifa zake zinawekwa huko.

Maxence Melo
Ni kweli Kiongozi itasaidia kuondoa taharuki,kwani kutokuwepo kwa jakwaa lake kunachangia wanachangiaji kudhani /kuhisi vifo hivyo vinasababishwa na CVD19.

Ni vyema pia kama itafaa Tanzia ziwekwe kwenye Jukwaa la Afya c/o Magonjwa na Vifo vya binadamu /Majanga /Ajali /Watu na Makazi /Takwimu za Vizazi na vifo/

Au jukwaa la Uchumi c/o Uchumi na Maendeleo ya Watu wa Dunia.
 
Huyu Mzee alikua poa sana, ndio nilimtaja kwenye Uzi Fulani ulikua unazungumzia Walimu ambao huwezi kuwasahau Chuo! Miaka ile alikua UDSM sifa yake ilikua ni kuchomekea
 
Back
Top Bottom